Tumia akili kufikiri sio kipaji chakubishana ulichojaaliwa.Kwa sababu hii nilidhani Ukraine yote ilipaswa kuwa mikononi mwa Urusi.
Kwanin Urusi iwe dude kubwa baada ya Trump kuingia madarakani?
Jibu swali kwanini Ukraine haipo mikononi mwa Urusi mpaka sasa? Hayo mengine hayatuhusu.Tumia akili kufikiri sio kipaji chakubishana ulichojaaliwa.
Unadhan Urusi angekuwa dhaifu Marekani ingekaa nae chini kujadili amani au ingetumia nguvu za kijeshi.
Je Europe nao wangeona Putin dhaifu wangeishia kuchangia silaha na kushiriki vita kificho.Unadhan kwanini hawakutangaza vita kamili na mrusi maana wanamuona ni muonevu kwa ukraine.
Mbona kina Gadaffi hawakuitwa mezani wajadili amani ya Libya,Iraq ya Saddam je.
Kwani Putin alisema anataka Ukraine yote iwe mikononi mwake au majimbo ya wanaoonewa ndio alitaka yawe upande wake.Jibu swali kwanini Ukraine haipo mikononi mwa Urusi mpaka sasa? Hayo mengine hayatuhusu.
Sina uhakika kama unajua unachoandika na unaelewa vizuri kuhusu huu mgogoro ukiweka mahaba upande fulani na ukaacha facts utaendelea kuonekana kilaza.Kwani Putin alisema anataka Ukraine yote iwe mikononi mwake au majimbo ya wanaoonewa ndio alitaka yawe upande wake.
Je amefanikiwa hilo au hajafanikiwa.
Tusiandike mipasho tuandike uhalisia wa mqmbo.
Mna ile propaganda yenu ya masaa 72 sijui nani alisema hilo.
Trump ni raisi wa marekani ila anakwambia Urusi hakuamua kuisambaratisha Ukraine ila kama angeamua angeweza kufanya hilo.
Wewe na Trump unadhani nani anaijua zaidi Marekani,Urusi na Ukraine.?
Urusi alikuwa anapigania Jimbo la Crimea, na eneo la kusini mwa Urusi la Donbas lenye raia wengi wenye asili ya Urusi. Na katika hilo amefanikiwa kwa zaidi ya 90%.Jibu swali kwanini Ukraine haipo mikononi mwa Urusi mpaka sasa? Hayo mengine hayatuhusu.
To make story short Putin anaitaka Ukraine as whole kwanini bado hajaichukua kwa miaka 2 sasa? Ukiacha Crimea na Donbas ambayo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa?Urusi alikuwa anapigania Jimbo la Crimea, na eneo la kusini mwa Urusi la Donbas lenye raia wengi wenye asili ya Urusi. Na katika hilo amefanikiwa kwa zaidi ya 90%.
Alichobakiza kwa sasa ni kumuondoa tu Zekensky na wapambe wake kuongoza Ukraine, na hivyo kuweka serikali tiifu kwa yeye Putin, na nchi yake Urusi.
Mjomba jamaa atakupasua kichwa yeye anajificha kwenye neno moja moja.MpotezeetuKwani Putin alisema anataka Ukraine yote iwe mikononi mwake au majimbo ya wanaoonewa ndio alitaka yawe upande wake.
Je amefanikiwa hilo au hajafanikiwa.
Tusiandike mipasho tuandike uhalisia wa mqmbo.
Mna ile propaganda yenu ya masaa 72 sijui nani alisema hilo.
Trump ni raisi wa marekani ila anakwambia Urusi hakuamua kuisambaratisha Ukraine ila kama angeamua angeweza kufanya hilo.
Wewe na Trump unadhani nani anaijua zaidi Marekani,Urusi na Ukraine.?
Kwa mtazamo wangu mimi nadhani lengo kuu la Putin ni kutaka kumuweka Rais mtiifu na mwaminifu kwake kuongoza Ukraine! Na jambo hili alilifanya mwaka 2014!To make story short Putin anaitaka Ukraine as whole kwanini bado hajaichukua kwa miaka 2 sasa? Ukiacha Crimea na Donbas ambayo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa?
Big Up. Umejibu kisomi sana na nimepata kitu kipya.Kwa mtazamo wangu mimi nadhani lengo kuu la Putin ni kutaka kumuweka Rais mtiifu na mwaminifu kwake kuongoza Ukraine! Na jambo hili alilifanya mwaka 2014!
Ila kwa bahati mbaya yule Rais aliondolewa kupitia mapinduzi yaliochagizwa na nchi za Magharibi. Na matokeo yake ndiyo haya sasa kuchukua kimabavu maeneo ya Ukraine yenye raia wengi wanaozungumza lugha ya Kirusi.
Ila wasira ni bonge la hbHuyu naye mzee Wasira wa marekani tumemchoka. Watu tulisubiri amalize vita within 24 hrs kama alivyosema, sasa anatishia kujitoa kwenye ushirika. Ajitoe tu, baada ya miaka minne ajaye atairudisha.
Mmechenji Gia angani. Lini na wapi Putin alisema anataka Ukraine yote?To make story short Putin anaitaka Ukraine as whole kwanini bado hajaichukua kwa miaka 2 sasa? Ukiacha Crimea na Donbas ambayo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa?
Enthusiastic...Hizi ndizo nyakati ambapo Mzungu mweusi na enthusiastic political analyst, T14 Armata anakuwaga hapatikani kabisaa kwa sababu yuko hukoo kijijini ndanindani kusikokuwepo mawasiliano ya simu.
Trump kichaaRais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
JendawazimuHana akili
Zamwamwa lile!!!Trump is crazy. Si angemwambia Russia apack na aondoke Ukraine?
Trump kaonyesha udhaifu mkubwa sana kwa Putin na hii sio kawaida kwa President wa USA mwenye akili timamu
Mimi na wewe nani anaonesha mahaba kiongozi.Sina uhakika kama unajua unachoandika na unaelewa vizuri kuhusu huu mgogoro ukiweka mahaba upande fulani na ukaacha facts utaendelea kuonekana kilaza.