Rais Trump awapa wiki tatu ukraine na Ulaya kumaliza vita

Mjomba jamaa atakupasua kichwa yeye anajificha kwenye neno moja moja.Mpotezeetu
Changamoto kubwa kuna waty hawataki kuukubali ukweli.

Yaani sasa hivi hadi maneno ya Raisi wa Marekani anayoongea kuhusu ukubwa na nguvu za Russia kijeshi bado wanayakataa.

Kiukweli Taifa letu lipo hapa lilipo kwasababu ya watu kama hao.
 
Mmechenji Gia angani. Lini na wapi Putin alisema anataka Ukraine yote?
Unampangia Putin malengo yake, nonsense.
Nyie wavivu wa kusoma ndio mnaharibu hiki kizazi kwa IQ zenu za kuku. Jitahidi hata kusoma kificha Ujinga wako
 
Mimi na wewe nani anaonesha mahaba kiongozi.

Maana haukubali ukweli ambao Trump yupo Marekani na Raisi anaejua siri nyingi anaukubali huo ukweli ila wewe kutoka Mpekenyela ndio unaukataa.
Unazielewa sera anazosimamia Trump au na hapo tukupe elimu? Hizo siri raisi aliyepita alikuwa hazijui? Trump yupo tayari ku support yeyote ili mradi marekani inapata maslahi. Jitahidini hata kusoma magazeti ya Nipashe kama vitabu hamuwezi.
 
Donald Trump hawezi kumsaliti swahiba wake Vladmir Putin. Jambo hili lilitarajiwa mapema kabisa baada tu Trump kushinda uchaguzi. Zelensky hawezi kuamini kinachoendelea kutokea.


Trump alipa fadhila kwa Putin. Uchaguzi wa awamu ya kwanza uliomwingiza Trump kwenye Urais kwa mara ya kwanza, alisaidiwa na KGB ya Russia katika kufanya udukuzi wa wapinzani wake. Na hiyo ilikuwa taarifa rasmi ya CIA. Who knows, kama msaada uliishia kwenye udukuzi pekee?

Wakati wa kampeni za safari hii, Ulaya ilionekana wazi kutopenda Trump awe Rais wa Marekani, bahati hailuwa kwao, Trump kashinda, huku akijua wazi kuwa Ulaya haikumtaka. Na inaonekana Trump ni mtu wa visasi, wote ambao hawakywa upande wake, anataka kuwakomoa. Fuatilia hata kule USA, wakuu mbalimbali ambao walionekana kuunga mkono USA kuipatia misaada na silaha Ukraine, wote amewaondoa, akianzia na mkuu wa majeshi. Na baada ya Ukraine kumkatalia takwa lake la kuvuna madini yote ya nchini mwake, Trump anatafuta njia ya kuiadhibu Ukraine.
 
Mmechenji Gia angani. Lini na wapi Putin alisema anataka Ukraine yote?
Unampangia Putin malengo yake, nonsense.


Mpango wa kwanza wa Urusi ulikuwa kuiondoa serikali ya Ukraine ili isimike Serikali yake. Urusi iliposhindwa kwenye hilo, ndipo ilikimbilia majimbo ya Mashariki ya Ukraine, maeneo ambayo ndiko walikuwepo waasi wa Ukraine waliokuwa wakiungwa mkono na Urusi.

Licha ya hasara kubwa kwa Ukraine, bado Urusi haikufanikiwa malengo yake.
 
hapana mzee. ishu ipo hivi.
Waziri wa ulinzi na pentagon wamepeleka questionnaires list Brussels ilipo nato wakiuliza specifs za troops zinazotakwa kupelekwa ukrein na idad na wanaenda kukaa wap na watafanya nini
mrusi kasema hoja ya kwanza yeye atashambulia hata kama jesh la nje ya nchi as long wapo ukraine.
 
Russia kuna KGB?
 
wacha upotoshaji mzee.hivi wewe una briefing ya intelligence kushinda US president?? trump kasema jana tu anataka vita iishe na kamwambia zelenzky akubali matakwa na nanukuu" Zelensky doesn't have the card but is playing hard" na anataka vita iishe sabab yeye kwa nafas yake ameona picha ambazo askar watoto wa ukraine walivoharibika kwa mabom.hio kiev yenyewe imeguswa guswa 20% ya mabom tena maeneo tu critical tu kama umeme na reli hakutaka ku level to the ground
 
Kama kila Kitu Russia kashindwa, basi mshindi ni Ukraine.
Ila Acheni kumpangia malengo Putin, kwanza hamumsaidii lolote lile kwake.
 
Ukiwachukulia na kuwaamini wanasiasa wanayosema utakuwa umepotea sana uwe unafikiri between the lines. Trump anataka vita iishe kuserve interest za marekani nothing else.
 
Hebu jiulize, hii vita ambayo haina mshindi itaisha lini? Nani mwenye hasara kati ya Ukraine na Russia. Jibu ni Ukraine, naamini Trump yupo sahihi
 
Uingereza alishajitoa umoja wa ulaya hapo aliewekwa kikaangoni sana sana ni ujerumani
 
Changamoto kubwa kuna waty hawataki kuukubali ukweli.

Yaani sasa hivi hadi maneno ya Raisi wa Marekani anayoongea kuhusu ukubwa na nguvu za Russia kijeshi bado wanayakataa.

Kiukweli Taifa letu lipo hapa lilipo kwasababu ya watu kama hao.
Kuna wakati ni wivu na kutokukubali kama ndio uhalisia.Maumivu yanafanya washindwe kuamini kwamba kumbe ndvyo ilivyo.
 
Fuatilia vizuri kiongozi
 
Unazielewa sera anazosimamia Trump au na hapo tukupe elimu? Hizo siri raisi aliyepita alikuwa hazijui? Trump yupo tayari ku support yeyote ili mradi marekani inapata maslahi. Jitahidini hata kusoma magazeti ya Nipashe kama vitabu hamuwezi.
Yaani wewe mtu wa mwanelumango uwe unaijua vizuri zaidi marekani kuliko Trump.

Kweli afya ya akili ni changamoto kubwa.

Trump kapiga hesabu ameona hawezi kuendelea kupoteza pesa kwenye mapambano na Urusi huku haioni dalili za ushindi zaidi ya kuendelea kuweka rehani pesa zake.

Ameona ni heri azungumze na Dubu ili wagawane urithi kabla hawajakosa kabsa.

Kwa ushauri punguza ujuaji hauna cha maana unachojua kumzidi Trump labda uchawi,uongo na roho mbaya.
 
Hao angewapa siku 7 tu,kwani ni watu wasioelewa na wasiotaka kuelewa kama kenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…