Rais Trump na Rais Uhuru Kenyatta kuzungumzia Amani na Usalama wa nchi za Afrika Mashariki. Kwanini Uhuru?

Watz siwaelewi kabisa mjue. Nyerere alipata kusema ukiona adui yako anakusifi a usidhani umefanya vizuri, rudi nyuma ujichunguze ni wapi umekosea. Wazungu ni adui zetu, na kama huamini kaishi kwenye nchi zao, sisi tu ndo tunajipendekeza kijingajinga kwao. Katika africa hakuna rais ni.emkubali kama tingatinga, yaan kila akipiga anapiga mulemule ninamotamani apige. Ndo maana nishawambia nitakuwa wa mwisho kutomwamini anko mqgu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya jiulize kwa nini hakualikwa white house? Make Uhuru wameonana na akaalikwa white house

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiye unayedhani Magufuli hakualikwa labda kwa sababu ana elements za udikteta, mimi sina mawazo hayo usifikiri kwa niaba yangu.
 
Hawajaenda... Pindi Magufuli akikubali kwenda atazungumzia.. Ni akili siyo mpaka ufundishwe darasani. Labda kama ulikuwa unaleta umbea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahha yaani sasa ulitaka nani akutane na trump??Embu wewe uulizaye hili swali twaomba utujibu
 
ukimuondoa Uhuru, waliobaki wote EAC ni tyrants!
 
Hata mimi magu namwaminia kwa hili, hana shobo za kwenda kujikomba kwa mazungu acha wanafiki wakanyagane kwenda kulamba miguu ya wazungu. Kwani huyo trump ndo Mungu bhana
 
Kula tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushazoea kuhoji kila kitu...

Angealikwa Kagame tungehoji kwa nini Rais kagame? Angealikwa Rais Magufuli tungehoji kwa nini Rais Magufuli? Angealikwa Museven tungehoji kwa nini Rais Museven...

Amealikwa Kenyatta tunahoji kwa nini Rais Kenyatta...


Cc: mahondaw
 
achana na historia mtumeni Samia akatete na Trump mana Ras Shimba hajakamilisha kazi pale Magogoni
 
Hahahha yaani sasa ulitaka nani akutane na trump??Embu wewe uulizaye hili swali twaomba utujibu
Nilidhani mtu sahihi wa kuzungumzia usalama wa EA ni mkiti wa EAC ambaye ni Museveni.
 
Jibu ni kwamba yupi yupo kwenye danger zone ya terrorism, hapo Kenya ndo anahatari kwa kua yuko karibu na Somalia
 
Hizi ni era za kuhoji ukiona mtu hahoji anakubali kila kitu lazima anawalakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…