Rais Trump: Rekodi zake si mchezo

Rais Trump: Rekodi zake si mchezo

Yeah!
Kwa watu makini lazima utagundua huyu mtu anauwezo mkubwa sana.
Japo hilo la kushindwa midahalo yote siliafiki ingawa umeeleza hio ni dhana kuwa alishindwa ila kiukweli mie niliangalia LIVE Midahalo miwili alidhihirisha uwezo wake na alimshinda kabisa Clinton.

Japo kwa mtazamo wa wengi walitaka Mpaka huku Kwetu Bongo walitaka Clinton ashinde so hata watoa matokeo walimfavour MMAMA HILLARY CLINTON.

Kiuhalisia TRUMPH alimshinda clinton midahalo yote akiongea ukweli, watu hawakumpenda maana Dunia ndio inawataka Viongozi waongo wenye kushabikia USHOGA NA KUSAGANA.
uko sawa nadhan mdahalo alo shindwa hasa ni ule wa kwanza, ila MSM zote zilisema kashindwa wa pili na watatu, kama wa pili ndio alishinda kabsa.
Ule mdahalo tulibishanaga na jamaa mmoja hapa alinichukia hadi leo, yaan hana ham na mimi[emoji23], but ndio rekod zita andika mostly alishindwa zote
 
I am not sure anybody who knows English and was able to follow the debates would say that in their right mind. I am sorry. Trump is a snake oil salesman. He did not win ANY of the debates unless hujui Kiingereza au una mahaba niue. He conned people and now they realize too late when they have elected a conman. The last two months have proved he is a know-nothing conman. Uchaguzi si juu ya ushoga tu. Na kama unafuatilia zaidi, hata hayo masuala ya ushoga hana habari tena. Usimwangalie mtu kwa suala moja tu. Ukifanya hivyo unaweza ukampenda mtu kwa kuwa tu alikupa mkate, kumbe alikupa mkate ili akupumulie kisogoni, wewe na mkeo wa watoto wako. Huwezi ukashikilia kwamba huyo ni mtu bora.
debate ya kwanza alishindwa dhahiri, ila debate ya pili na ya tatu it is debatable, kama ya pili sikuhisi kama alishindwa mpaka leo.
is Trump erratic yes, jamaa ana makosa mengi tu, ila nakwambia kama aki endelea kushikilia uchumi ukawa mzuri, asipigane vita yeyote ya kijinga. bas he wont be as bad as you potray him, mpaka sasa yenyewe nchi inaenda haija mshinda bado, sema ukitama uhisi US inaungua angalia CNN, ila i dare to tell you, if the economy will be good as now and unemployment rate ziwe chini hivi hivi, na sipigane vita mpaka ana maliza, sioni haja ya kusema he is conman na likely ataweza hata kuwa re-elected kama akifanya hivo, sema Trump hatabiriki hujui kesho ata fanya nn [emoji23]
 
Alipondwa na vyombo vingi vya habari vyakwao, ulaya na hata huku bongo... Lakini alishinda...
 
Alipondwa na vyombo vingi vya habari vyakwao, ulaya na hata huku bongo... Lakini alishinda...
kuna waziri wa ujerumani alimsema kishenz alipo shinda ikabid aseme bas tutafanya kazi naye tu, ila jamaa mpaka leo hampendi hata Merkel
 
Apparently imekuja kufahamika takwimu alizotumia kuingia kwenye Guinness book of record zilikua za uwongo, alichanganya assets za watu wengine na zakwake ku justify utajiri wake. One of the reasons amekataa kutoa takwimu zake za mapato na kodi hadharani kama maraisi wengine waliopita. ( Pamoja na record za bankruptcy mara kadhaa)
Na baada ya kuganikiwa kuingia kwenye Guinness book of record ndio ikaweza kumpa nafasi ya hayo mafanikio mengine.

Ana sifa kubwa Sana ya uongo pia, kama viongozi wengi wa Africa walivyo. Maisha yake yamejaa ujanja ujanja.
Alidanganya kwenye jarida la Forbes ili awekwe kwenye takwimu za watu 500 tajiri duniani.

Kitu ambacho unapaswa kufahamu ni kwamba jamaa anauwezo wa kununua/ kuhonga popote provided atapata umaarufu.
 
Back
Top Bottom