Rais Trump: Rekodi zake si mchezo

uko sawa nadhan mdahalo alo shindwa hasa ni ule wa kwanza, ila MSM zote zilisema kashindwa wa pili na watatu, kama wa pili ndio alishinda kabsa.
Ule mdahalo tulibishanaga na jamaa mmoja hapa alinichukia hadi leo, yaan hana ham na mimi[emoji23], but ndio rekod zita andika mostly alishindwa zote
 
debate ya kwanza alishindwa dhahiri, ila debate ya pili na ya tatu it is debatable, kama ya pili sikuhisi kama alishindwa mpaka leo.
is Trump erratic yes, jamaa ana makosa mengi tu, ila nakwambia kama aki endelea kushikilia uchumi ukawa mzuri, asipigane vita yeyote ya kijinga. bas he wont be as bad as you potray him, mpaka sasa yenyewe nchi inaenda haija mshinda bado, sema ukitama uhisi US inaungua angalia CNN, ila i dare to tell you, if the economy will be good as now and unemployment rate ziwe chini hivi hivi, na sipigane vita mpaka ana maliza, sioni haja ya kusema he is conman na likely ataweza hata kuwa re-elected kama akifanya hivo, sema Trump hatabiriki hujui kesho ata fanya nn [emoji23]
 
Alipondwa na vyombo vingi vya habari vyakwao, ulaya na hata huku bongo... Lakini alishinda...
 
Alipondwa na vyombo vingi vya habari vyakwao, ulaya na hata huku bongo... Lakini alishinda...
kuna waziri wa ujerumani alimsema kishenz alipo shinda ikabid aseme bas tutafanya kazi naye tu, ila jamaa mpaka leo hampendi hata Merkel
 
Apparently imekuja kufahamika takwimu alizotumia kuingia kwenye Guinness book of record zilikua za uwongo, alichanganya assets za watu wengine na zakwake ku justify utajiri wake. One of the reasons amekataa kutoa takwimu zake za mapato na kodi hadharani kama maraisi wengine waliopita. ( Pamoja na record za bankruptcy mara kadhaa)
Na baada ya kuganikiwa kuingia kwenye Guinness book of record ndio ikaweza kumpa nafasi ya hayo mafanikio mengine.

Ana sifa kubwa Sana ya uongo pia, kama viongozi wengi wa Africa walivyo. Maisha yake yamejaa ujanja ujanja.
Alidanganya kwenye jarida la Forbes ili awekwe kwenye takwimu za watu 500 tajiri duniani.

Kitu ambacho unapaswa kufahamu ni kwamba jamaa anauwezo wa kununua/ kuhonga popote provided atapata umaarufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…