Rais tuletee mwamba Paul Makonda awe mkuu wa mkoa, tunamhitaji kwa sana

Angekuwa kiongozi nzuri wajumbe wangempiga chini?[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]?
 
Timu Msambwanda kazini πŸ˜€ πŸ˜€
πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ πŸƒβ€β™‚οΈ

Everyday is Saturday..........................😎
 
Ni mjomba wako? Hafai kabisa.
 
Naona una hamu tu ya kupimwa tezi dume sema tu unazungukazunguka bashite akiwa RC wako wapimaji wakija kugonga mlango wako usiwe mkali
 
Unamuombea wewe mke wake? Halafu wewe ni kama nani unaomba huyo bwege aletwe Mwanza? Msituletee mambo ya kipumbavu katika mkoa wetu, hatuna muda wa mpuuzi mwenzako.
 
Bado mnamtaka awatatulie migogoro ya ardhi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…