KIFOROKOKWINYO
Senior Member
- Sep 16, 2017
- 177
- 108
Urasimu huu hauko tarura pekee kwa makandasi hata tanesco nako hakuko sawa kwenye weledi na ufanisi wa kazi wanazotoa kwa makandarasi wa umeme kazi ya kufanya wiki 1 tanesco wanata itanyike mwezi na vikwanzo vingi visivyokuwa na sababu yoyote, wakandarasi wanaowapa kazi
Waheshimiwa mawaziri wa vizara zinazolalamikiwa kwa rea, tanesco kaeni hizo kampun kutoka nnje za hazina wanachofanya rea wanawapa Kaz kampun za nnje Hawa wanachofanya zaidi kampun.ndogo za kitanzania ukandaras zifanya kazi hizo kwa asimia 100 bila hizo kampun za nnje kufika kukagua miradi hufika tu mradi na meneja wa tanesco ili mgeni alipwe andoke nnchi akiwa mnene Zaid selikali ifike wakati muanze amini Wakandaras wa ndani ili kujenga nnchi yetu .
Wakandasi wa nnje hasa kwenye miradi.ya rea huwa haifiki site huwa wanacheza na mikata na jina.jamuhuru ya muungano Tanzania vibaya . Selikali anzen kufatilia mtawaua njaa wataamu nda kufadisha wataamu wa njee
Ushauri kwa Sheria mnatumia wa si msahaafu au bibili Kama haziwezi badilika hii ni nyinyi wenyewe wahindisi huwa hamuendi tembelea .mnatumia mhadish tanesco uliko kwenda kagua mradi.ndo.mlioko.rea makao makuu hata mradi wa rea tandahimba umefikia kiwango kometa ngap Hala hujui mpaka. M paka upitie meneja tanesco tambihimba.
Ndo hamjui watanzania wenzenu wanajifanya kazi na kwa asilimia [emoji817] zifanywa na wahindishi wazawa na kiujuzi wanaacha mbali sana.
Mh rais nasi pia tupaswa kutizamwa kwa jicho la huruma Sana tufanya kazi Kama manamba wangeni hawana wachofanya Zaid kutoa mikataba ya magumashi kwa wakandarasi wazawa .
Na hata ukilalamika Lea hakuna utatuzi
Wowote unachokuliwa sababu wanamaslahi yao huko kwa miradi