Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ripoti ya 2023 wewe unataja Doto James?Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Inabidi miamala yao iwe chini ya uangalizi mkali, hasa kuelekea 2025, wajumbe wote wawe monitored.Waliohusishwa na ufisadi mostly 95% ni wateule wa aliyekuwepo nyakati zile, she must..........!
(Upo uwezekano kuna fungu kubwa linakusanywa ili kuja kuhonga wajumbe)
Ingawaje tumesha mpitisha, huu wizi unaushirikiano mkubwa sana, na si kamtu kamoja kanaiba tu.
Wewe utakuwa na Mimba ya Magufuli wapigaji wapo kwenye serikali hii hii ya SamiaHuyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Akili ya kukuWaliohusishwa na ufisadi mostly 95% ni wateule wa aliyekuwepo nyakati zile, she must..........!
(Upo uwezekano kuna fungu kubwa linakusanywa ili kuja kuhonga wajumbe)
Ingawaje tumesha mpitisha, huu wizi unaushirikiano mkubwa sana, na si kamtu kamoja kanaiba tu.
Hizi picha za kutengeneza mitandaoni nani atazikubali? Picha za ku-editWewe utakuwa na Mimba ya Magufuli wapigaji wapo kwenye serikali hii hii ya SamiaView attachment 2582952View attachment 2582953
Tatizo la sukumagang ripoti ya CAG inayojadiliwa ni ya 2023?Ripoti ya 2023 wewe unataja Doto James?
Mpwa wa kaburu MagufuriRipoti ya 2023 wewe unataja Doto James?
Kumbe hujitambui? Picha IPI hapo imeeriditiwa?Hizi picha za kutengeneza mitandaoni nani atazikubali? Picha za ku-edit
Sio Dotto James peke yake bali wote wale ambao CAG ameibua madudu yao washughulikiwe bila huruma !! Wezi wa kuku mtaani wanachomwa moto !! Mungu anawaona. !!Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Unampigia debe jambazi, umefeli.Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Walishindwa kwa Sabaya hakuna tena kitachoendelea,yule alikuwa awe mfano hai unaoishi.Inatakiwa watolewe mfano watu wachache
Na kiranja wao mkuu wa hao Mawaziri.Kwa maoni yangu wanao takiwa kuwajibika hadi sasa ni wafuatao....
1. Makame Mbarawa
2. January Makamba
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu Nchemba
5. Mwana sheria mkuu wa serikali
Aisee uchawi upoNa kiranja wao mkuu wa hao Mawaziri.