Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Umeyakanyagaa!!!! Ngoja walinda legacy waje.Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.