Chozizwa2020
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 912
- 853
Mkuu Chiembe unatisha!! Mimi nilidhani ni uhamisho kama uhamisho!! loo makubwa.Inabidi miamala yao iwe chini ya uangalizi mkali, hasa kuelekea 2025, wajumbe wote wawe monitored.
Vile vikao walikuwa wanafanyia Malawi, Sasa itabidi waende mpaka Cuba.