Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Umeyakanyagaa!!!! Ngoja walinda legacy waje.Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Hapo katiba ilituangusha mkuu..😊Na kiranja wao mkuu wa hao Mawaziri.
Kabisa !Walishindwa kwa Sabaya hakuna tena kitachoendelea,yule alikuwa awe mfano hai unaoishi.
Sabaya live alikuwa wakula mvua zisizopungua angalao 15 watu waogope ila sasa wameshaona kumbe hata wakihukumiwa kuna gap la kutoka so wanajipigia tu litajulikana mbele kwa mbele.
Hakuna cha legacy wala nini sheria ni msumeno ! Wote waliohusika washughulikiwe kikamilifu bila kuwaogopa na bila kuwaonea !! Serikali iliyopita ya legacy na hii ya sasa zote ni za CCM kwahiyo haki itendeke tu ! Watu wamechoka na wizi wa mali za Umma !!Umeyakanyagaa!!!! Ngoja walinda legacy waje.
Mtoto wa "MJOMBA"Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Hili ndilo la msingi but wazee wa legacy hawataki kusikia wala kukubali awamu ile kulikua na ufisadiHakuna cha legacy wala nini sheria ni msumeno ! Wote waliohusika washughulikiwe kikamilifu bila kuwaogopa na bila kuwaonea !! Serikali iliyopita ya legacy na hii ya sasa zote ni za CCM kwahiyo haki itendeke tu ! Watu wamechoka na wizi wa mali za Umma !!
CCM ni ukoo wa panya hakuna aliemsafi awamu zote!! Isipokua mzalendo wa kweli Mwalimu Julius kambarage Nyerere!!Awamu ya wizi na ufisadi ndio hii Sasa watu wamepiga Trilioni 1.7 kwenye Reli huko hii nchi inaliwa sana.
Yeye ame chagua Dotto ila mama yao ametajwa hapana.Sio Dotto James peke yake bali wote wale ambao CAG ameibua madudu yao washughulikiwe bila huruma !! Wezi wa kuku mtaani wanachomwa moto !! Mungu anawaona. !!
Ila sukumagang hawatakiwi kuwajibikaKwa maoni yangu wanao takiwa kuwajibika hadi sasa ni wafuatao....
1. Makame Mbarawa
2. January Makamba
3. Nape Nnauye
4. Mwigulu Nchemba
5. Mwana sheria mkuu wa serikali
Ndio nani hao sukumagang..🤔Ila sukumagang hawatakiwi kuwajibika
Hivi yupo wapi sasa hivi? Yaani ana position gani kwa sasa au yupo benchi anasubiri kupangiwa kazi nyingine?Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Atembelee Kisutu Kwa maana ya mahakama au kwenye soko!?Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
KabisaYeye ame chagua Dotto ila mama yao ametajwa hapana.
Hizi tabia ndio zinafanya wapige pesa, maana tunachagua wakushtakiwa
Haki itendeke na ionekane imetendeka ! Enough is enough !Hili ndilo la msingi but wazee wa legacy hawataki kusikia wala kukubali awamu ile kulikua na ufisadi
Dotto James immediate chief wake alikuwa Philip Mpango.Philip Mpango leo ni Makam wa Rais.HAITATOKEA kama ambavyo HAIKUTOKEA kwa Paul Makonda.Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
Kweli wewe ni chinembeHizi picha za kutengeneza mitandaoni nani atazikubali? Picha za ku-edit