Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona bei kubwa ujue ni Bei ya Soko , kwenye Dunia ya ushindani huwezi kujipandishia,wewe kama una duka hebu jipandiehie tuone.
Kapandishe bei ya duka lako uuze,si umesema unajioandishia? Kajipandishie basi ulete mrejesho naona unaleta mipasho ya kitoto.Chawa kazini
Unajifanya kusahau kuwa CCM ndiyo imetawala Tanzania tokea uhuru na ndiyo imeifanya Tanzania kuwa nchi ya ulimwengu wa Tatu!Unaelewa kuwa miaka ya 1950 Korea ya kusini na Tanzania zilikuwa sawa kiuchumi na kimaendeleo?Hao Wana uwezo na nyenzo,Nchi za ulimwengu wa tatu tutapata wapi pesa hizo?
🤣🤣🤣🤣wa kwetu ana hamasisha wafanyabiashara wapandishe bei vitu
Kapandishe bei ya duka lako uuze,si umesema unajioandishia? Kajipandishie basi ulete mrejesho naona unaleta mipasho ya kitoto.
Kasema na kawachana live ,sasa ulitaka aseme vitashuka wakati ndio ukweli wenyewe?Mipasho kwani yule rais hajasema vitu vyote vitapanda bei, au?
Sio swala la ccm,ukiacha South Africa na Egypt,Nchi zingine zote za Africa ziko ulimwengu wa tatu..Unajifanya kusahau kuwa CCM ndiyo imetawala Tanzania tokea uhuru na ndiyo imeifanya Tanzania kuwa nchi ya ulimwengu wa Tatu!Unaelewa kuwa miaka ya 1950 Korea ya kusini na Tanzania zilikuwa sawa kiuchumi na kimaendeleo?
Kasema na kawachana live ,sasa ulitaka aseme vitashuka wakati ndio ukweli wenyewe?
Aibu kubwa sn🤣🤣🤣🤣
Mifumo mibovu imeletwa na CCM kiongozi ana haribu ufisadi mkubwa anaishia kuambiwa jihuzulu badala ya kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria na taratibuSio swala la ccm,ukiacha South Africa na Egypt,Nchi zingine zote za Africa ziko ulimwengu wa tatu..
Kwani kote huko ni CCM imetawala? Kwani ni Tzn pekee iliyozidiwa na Korea Kusini? South Korea imeizidi hadi Russia sijui unasemaje..
Bara la Africa iliko Tanzania inakabiliwa na limitations nyingi,ingekuwa Tzn pekee ndio iko third world country na Nchi zingine za Africa zimejikwamua ingekuwa ni hoja ya maana..
Ulipo hapo huna hata mbinu hata moja ya kuiweka mezani Ili tutoke hapa umeishia kulaumu ccm kwa sababu tuu hujapata madaraka unayoyahangaikia.
Wewe unaejitambua hamia kwenye Nchi yeyote unayoona wewe bei zimeshuka..Huko si kuchana live bali ni wizi na kutokujitambua:
Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi
Wewe unaejitambua hamia kwenye Nchi yeyote unayoona wewe bei zimeshuka..
Pili itaje Nchi yeyote unayoijua wewe hapa Africa kwamba Bei zimeshuka..
Narudia tena Rais anajitambua ndio maana kawachana live,hajataka kutumia zile lugha za yule Katuni wenu aliyesema kama Bei zimepanda Jenga kiwanda chako uuze bei nafuu wala kujibu watu kwamba unataka nije nikufanyie mimi Kazi.
Mkuu Kenya wamechukua hatua, bil 700 zimetolewa kwa ajili ya kuweka ruzuku kweye mafuta.Mwambie uyo hapo Kenya mafuta yamepamda na sehemu nyingine hayapo
Mfumuko wa Bei ukiwepo pesa inapoteza thamani, na hupelekea uchumi kuanguka. Mfano Leo hii mkate uuzuwe 20000, mafuta 30000, kilo y aunga 20000. Mnajikuta mnaanza kuwa na noti ya mil 1Hata mimi au uliza hata mafundi,Bora mfumuko wa bei uwepo lakini pesa iwe inapatikana.
Turkey kule mfumuko wa bei uko karibu 40% tena toka mwaka Jana na maisha yanaendelea.
Acha kuwa mjinga vitu vilianza kupanda bei hata kabla ya visingizio vyao. Ni raisi mjinga pekee anateweza kutamka hadharani kuwa vitu vitapanda bei.Hebu tuongee ukweli huu mfumuko wa bei uko tanzania pekee?,huu mfumuko kauleta samia?na kwamba huo mfumuko samia unataka afanye nini?
Vitu vimepanda kabla ya vita, inabidi huu ukweli usemwe na sababu halisi ijulikaneAmeingia kipindi kigumu sana huyu mama....aliachiwa msala kapata msala mwingine tena wa kipindi cha vita
Hayo yote yanaeleweka lakini metrics ya hadi kuita mfumuko wa bei unajua inaanzia kiasi gani?Mfumuko wa Bei ukiwepo pesa inapoteza thamani, na hupelekea uchumi kuanguka. Mfano Leo hii mkate uuzuwe 20000, mafuta 30000, kilo y aunga 20000. Mnajikuta mnaanza kuwa na noti ya mil 1