Rais Uhuru asafiri Mauritius na kuingia mikataba ya kufungua soko kwa ajili ya mazao yetu

Atakwambia anataka takwimu kutoka world bank WB! haaaaaa hahahaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sector
My friend kujieleza is not posting 100 links here, one is just enough.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona bado humu ndani hatujasomana japo tupo kwa muda sasa, what I want to tell you is whatever statistical am telling you about, you should put that in mind kwamba ni viable

Mimi nimewaambia wakenya huwa mnakuja kosomba parachichi Tanzania na kwenda kuzipaki Kenya lakini mnabisha, that thing I saw with my own eyes, rafiki yangu anatemgeneza hundreds of millions kwenye hicho kilimo

Hakuna siku hata moja Kenya itakuja kuipita Tanzania kwenye hass production narudia tena hakuna siku hata moja wakenya mtaipita Tanzania kwenye uzalishaji wa avocado's za hass

Nipo kwenye group la watu Zaidi ya 200 wote wanamiliki zaidi ya hekari 10,000 za hass huko Southern Highlands, hiyo ardhi Kenya hamtakaa muwe nayo mpaka Yesu anakuja, people are cutting down pines for hass

Hii attachment ni ya 2017

Sometimes you read comments and just laughing, better remain anonymous
 
Instagram has never and will never be a viable source. They are just like you who depends on guess work.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Instagram has never and will never be a viable source. They are just like you who depends on guess work.

Sent using Jamii Forums mobile app
Erasto Ngole ni mtu anajulikana na whoever stakeholder kwenye sector ya horticulture hata kwenye last annual national business summit inayofanyika Ikulu under the chairmanship of the president alikuepo na alipewa mic na akaongea na kutaka AirTanzania iwe na cargo plane sababu ya hass avocado tu,

Ngoja naleta video
 
Who told he can't lie, if your president ndo anawadanganya, what about him?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tshs 20000 kama mshahara??? Duh!!!
Kumbe tz ni mkoa Kenya? Ni kama mandera tu!
 
Tshs 20000 kama mshahara??? Duh!!!
Kumbe tz ni mkoa Kenya? Ni kama mandera tu!
Yeah Tanzania mambo fresh tu, unashangaa hiyo pesa wakati ni pesa nyingi sana sababu cost of living is way cheaper, ni Tanzania tu watu 100 wanamiliki 10,000 breathtaking fertile land, hii Kenya ni impossible miracle
 

Attachments

  • Screenshot_2019-04-12-21-18-49.png
    51.2 KB · Views: 13
ka Nchi kama Mauritus kanakuja kuwalisha wapokoma na waTurkana kweli manyang'au mmeshindikana, ardhi tu Nchi nzima imekaliwa na 5% sasa sijui mtwapa ya nani na nani akaondoe njaa, labda yule aliyelima eka 500,000 DRC
 
the problem with arguing with you is that, you always find nonsense to post!
Earlier ulisema kuwa tanzania imeombwa 3million tonnes za parachichi, nikakuumbua. Sasa umeibuka na upuuzi wa instagram na propaganda mnazolishwa ati kwamba waKenya wananunua parachichi to tz kisha wanaexport. Hivi tz nzima hakuna anyeweza ku export parachichi direct?? kama atcl inapeleka nyama uarabuni sembuse parachichi??
Kenya pia ina ardhi yenye rotuba na ambayo inatumika sawasawa ndo maana tz haiwezi kuipita Kenya kwa kilimo biashara. Kwa ukulima wa parachichi, huu ndio mradi ambao umewatoa katika umaskini wakulima wengi sana wa central highlands ambao awali walikuwa wanalima kahawa. Isitoshe, kuna makampuni binafsi ya kilimo biashara mfano KAKUZI so hizo propaganda za eti waKenya wanatoa parachichi tz, ukome nazo huko tu.


 
unfortunately am not here to force anyone to believe anything so don't use all that energy for nothing, nimeweka video hapo juu horticulture stakeholders wakimuambia Magufuli how they have to improve air cargo services upande wa Southern Highlands na maeneo mengine ili mzigo utoke Tanzania direct though hata saivi unatoka from Tanzania to the world

Kitu walichosema ni kwamba Kenya inakuja kuchukua unpacked avocados na they need more and more packers sababu pamoja na Kenya kuja kuchukua hizo avocados na domestic packers kuchukua even bigger stock lakini bado avocado's ni nyingi to the extent of selling in the very low price, yes of course more than 65% of your export avocados are from Tanzania and am not forcing you to believe that.



s=20
I won't reply to your lame comments about this thing anymore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…