REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
ππππ Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sectorAtakwambia anataka takwimu kutoka world bank WB! haaaaaa hahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sectorAtakwambia anataka takwimu kutoka world bank WB! haaaaaa hahahaa
ππππ Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sectorAtakwambia anataka takwimu kutoka world bank WB! haaaaaa hahahaa
Umetupia maneno ya uchungu mwingi ila kalilie chooni. Eti maparachichi yanasafirishwa na malori kutoka Tz hadi airport Kenya! π Maparachichi na Macadamia ya Export Kenya yanakuzwa kwa vigezo kama vya maua au kahawa. Wakulima hawayapandi kiholela, wanaingia kwenye mikataba na exporters. Huwa yanakaguliwa kutoka shambani. Kuna sheria kuhusu yanavokuzwa na yanavovunwa pia. Wakulima wa Kenya wanalinda soko lao pia na hawawezi kubali huo upuuzi. Mbona maua ya Tz yanapita kwenye uwanja wa ndege Kenya ila yanajulikana wazi kwamba ni ya Tz? Mnajaza pengo la demand ya matumizi ya maparachichi ya kienyeji hapa Kenya tu, sio yale ya export.
My friend kujieleza is not posting 100 links here, one is just enough.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona bado humu ndani hatujasomana japo tupo kwa muda sasa, what I want to tell you is whatever statistical am telling you about, you should put that in mind kwamba ni viablenilikwambia picha za instagram na twitter jazitakusaidia, hapa tunadeal na takwimu za kuaminika. na btw, uwache kutoa taarifa mkunduni! ati tz imeombwa 3million tonnes za maparachichi??π±π±π€£π€£π€£π€£ hata Mexico the world's largest avocado producer hawana uwezo huo sembuse tanzagiza! sasa nimeamini haujui chochote wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sector
Naona bado humu ndani hatujasomana japo tupo kwa muda sasa, what I want to tell you is whatever statistical am telling you about, you should put that in mind kwamba ni viable
Mimi nimewaambia wakenya huwa mnakuja kosomba parachichi Tanzania na kwenda kuzipaki Kenya lakini mnabisha, that thing I saw with my own eyes, rafiki yangu anatemgeneza hundreds of millions kwenye hicho kilimo
Hakuna siku hata moja Kenya itakuja kuipita Tanzania kwenye hass production narudia tena hakuna siku hata moja wakenya mtaipita Tanzania kwenye uzalishaji wa avocado's za hass
Nipo kwenye group la watu Zaidi ya 200 wote wanamiliki zaidi ya hekari 10,000 za hass huko Southern Highlands, hiyo ardhi Kenya hamtakaa muwe nayo mpaka Yesu anakuja, people are cutting down pines for hass
Hii attachment ni ya 2017
Sometimes you read comments and just laughing, better remain anonymous View attachment 1069842
Erasto Ngole ni mtu anajulikana na whoever stakeholder kwenye sector ya horticulture hata kwenye last annual national business summit inayofanyika Ikulu under the chairmanship of the president alikuepo na alipewa mic na akaongea na kutaka AirTanzania iwe na cargo plane sababu ya hass avocado tu,Instagram has never and will never be a viable source. They are just like you who depends on guess work.
Sent using Jamii Forums mobile app
Erasto Ngole ni mtu anajulikana na whoever stakeholder kwenye sector ya horticulture hata kwenye last annual national business summit inayofanyika Ikulu under the chairmanship of the president alikuepo na alipewa mic na akaongea na kutaka AirTanzania iwe na cargo plane sababu ya hass avocado tu,
Ngoja naleta video
πππ Do you even know the criteria to step in the State House for such occasion?Who told he can't lie, if your president ndo anawadanganya, what about him?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Do you even know the criteria to step in the State House for such occasion?
Nimesema he's the famous guy na kwenye horticulture sector hakuwa peke yake,
Nimesema he's the famous guy na kwenye horticulture sector hakuwa peke yake,
Take your time here if you manage to
Then you should stop twerking
This is from the very crucial media House in Tanzania though I never knew him from clouds
Tshs 20000 kama mshahara??? Duh!!!ππππ Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sector
Naona bado humu ndani hatujasomana japo tupo kwa muda sasa, what I want to tell you is whatever statistical am telling you about, you should put that in mind kwamba ni viable
Mimi nimewaambia wakenya huwa mnakuja kosomba parachichi Tanzania na kwenda kuzipaki Kenya lakini mnabisha, that thing I saw with my own eyes, rafiki yangu anatemgeneza hundreds of millions kwenye hicho kilimo
Hakuna siku hata moja Kenya itakuja kuipita Tanzania kwenye hass production narudia tena hakuna siku hata moja wakenya mtaipita Tanzania kwenye uzalishaji wa avocado's za hass
Nipo kwenye group la watu Zaidi ya 200 wote wanamiliki zaidi ya hekari 10,000 za hass huko Southern Highlands, hiyo ardhi Kenya hamtakaa muwe nayo mpaka Yesu anakuja, people are cutting down pines for hass
Hii attachment ni ya 2017
Sometimes you read comments and just laughing, better remain anonymous View attachment 1069842
Yeah Tanzania mambo fresh tu, unashangaa hiyo pesa wakati ni pesa nyingi sana sababu cost of living is way cheaper, ni Tanzania tu watu 100 wanamiliki 10,000 breathtaking fertile land, hii Kenya ni impossible miracleTshs 20000 kama mshahara??? Duh!!!
Kumbe tz ni mkoa Kenya? Ni kama mandera tu!
πππππ Twende mdogo mdogo bintiHakuna kumiliki wanamiliki.Ardhi huko ni ya serikali laghai wewe.
the problem with arguing with you is that, you always find nonsense to post!ππππ Hawaamini kama Tanzania imewakalisha kwenye hii sector
Naona bado humu ndani hatujasomana japo tupo kwa muda sasa, what I want to tell you is whatever statistical am telling you about, you should put that in mind kwamba ni viable
Mimi nimewaambia wakenya huwa mnakuja kosomba parachichi Tanzania na kwenda kuzipaki Kenya lakini mnabisha, that thing I saw with my own eyes, rafiki yangu anatemgeneza hundreds of millions kwenye hicho kilimo
Hakuna siku hata moja Kenya itakuja kuipita Tanzania kwenye hass production narudia tena hakuna siku hata moja wakenya mtaipita Tanzania kwenye uzalishaji wa avocado's za hass
Nipo kwenye group la watu Zaidi ya 200 wote wanamiliki zaidi ya hekari 10,000 za hass huko Southern Highlands, hiyo ardhi Kenya hamtakaa muwe nayo mpaka Yesu anakuja, people are cutting down pines for hass
Hii attachment ni ya 2017
Sometimes you read comments and just laughing, better remain anonymous View attachment 1069842
unfortunately am not here to force anyone to believe anything so don't use all that energy for nothing, nimeweka video hapo juu horticulture stakeholders wakimuambia Magufuli how they have to improve air cargo services upande wa Southern Highlands na maeneo mengine ili mzigo utoke Tanzania direct though hata saivi unatoka from Tanzania to the worldthe problem with arguing with you is that, you always find nonsense to post!
Earlier ulisema kuwa tanzania imeombwa 3million tonnes za parachichi, nikakuumbua. Sasa umeibuka na upuuzi wa instagram na propaganda mnazolishwa ati kwamba waKenya wananunua parachichi to tz kisha wanaexport. Hivi tz nzima hakuna anyeweza ku export parachichi direct?? kama atcl inapeleka nyama uarabuni sembuse parachichi??
Kenya pia ina ardhi yenye rotuba na ambayo inatumika sawasawa ndo maana tz haiwezi kuipita Kenya kwa kilimo biashara. Kwa ukulima wa parachichi, huu ndio mradi ambao umewatoa katika umaskini wakulima wengi sana wa central highlands ambao awali walikuwa wanalima kahawa. Isitoshe, kuna makampuni binafsi ya kilimo biashara mfano KAKUZI so hizo propaganda za eti waKenya wanatoa parachichi tz, ukome nazo huko tu.
View attachment 1069961
View attachment 1069962