Rais Uhuru atoa amri kila aliyetajwa kwenye ufisadi ang'atuke madarakani

Wewe unachokoza watz wakikujia juu unalalamika. Hebu tueleze wale wezi wa goldenburg walirudisha shilingi ngapi serikalini?

Kama unajua kusoma na kuelewa basi rudia tena usome nilichosema. Nitaamini kuna kitu kinatendeka nitakapoona mkubwa fulani ndani ya jela na hela zinarejeshwa. Sio kama Tanzania ambapo niliona hadi jamaa wana ujasiri wa kubeza eti milioni kumi nipesa za mboga tu na hawakurejesha hata shilingi moja.

Hapa kwetu nataka kuona yakitendeka tena kwa fujo. Mafisadi wametuchosha.
 
Bravo your Excellency the President of Kenya.
Dear All
Pse expect the same from our govt.comes October.On behalf of all the concerned,I wish to apologise for wrongs done to them.No compesation coz no money.
 
Mawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10 wametajwa miongoni mwa maafisa 175 wa umma watakaolazimika kunga'atuka mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.

Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa kilichowajumuisha wabunge na maseneta.

Rais Kenyatta aliwataka maafisa wote wa umma waliotajwa katika ripoti hiyo waondoke ilituhuma zote dhidi yao zichunguzwe kwa kina na tume ya kupambana na ufisadi.

''Kwa hakika imewadia wakati ambapo serikali yangu haina budi ila kuchukua hatua mahsusi ambayo inalenga kukomesha hili zimwi la ufisadi mara moja''

UFISADI ''Ufisadi umevuka mipaka na lazima nasi tujifunge kibwebwe na kukabiliana nao''.

''Natarajia kuwa wale waliotajwa katika ripoti hii watanga'tuka mamlakani hadi pale uchunguzi utakapokamilishwa ndipo warejee afisini.'' alisema Kenyatta.

Kenyatta aliongezea kusema kuwa ''Ninamtaka kiongozi wa mashtaka ya umma kuanzisha uchunguzi mara moja kuhusiana visa vyote vilivyotajwa humu katika kipindi cha siku 60 zijazo''.

Ripoti hiyo iliyotayarishwa na tume ya kupambana na ufisadi nchini Kenya KACC inawadia wakati ambao kumekuwa na visa vingi vya ufisadi haswa katika serikali kuu na pia serikali za majimbo.

Kisa kilichozua mjadala ni kile cha 'Anglo Leasing'' ambayo ilijumuisha kandarasi za idara ya Uhamiaji idara ya upelelezi na Idara ya usalama wa taifa.

Mabilioni ya fedha yalilipwa kwa wanakandarasi waliotarajiwa kuwasilisha kazi ambazo hazikuwahi kufanyika hata wa leo.

Magavana 10 kati ya 47 wametajwa katika ripoti hiyo ambayo itatangwwa rasmi siku ya jumanne katika mabunge yote mawili.

Duru zinasema kuwa Kamati nzima ya bunge inayochunguza ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma imetajwa katika ripoti hiyo.

MSAMAHA

Aidha Rais Kenyatta aliwaomba radhi maelfu ya wakenya waliohujumiwa na serikali zilizotangulia.

Kenyatta alisema''ili wakenya waweze kusonga mbele na kusahau yaliyopita kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali zilizotangulia ni wajibu wangu kuchukua fursa hii na kuwaomba msamaha wote waliodhulumiwa kwa njia moja au nyengine.

Zaidi ya Wakenya 650,000 walifukuzwa makwao kufuatia vita vya baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2008 na tume maalum ya haki ukweli na maridhiano TJRC.

ilipendekeza kuwa sharti serikali iombe radhi kwani fedha haziwezi kufuta machungu ya mateso ambayo wakenya wamepitia''

''Hata hivyo licha ya mapendekezo ya tume hiyo ya maridhiano,nimeagiza wizara ya fedha itenge shilingi bilioni 10 dola milioni 110, katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kwa ajili ya kuwafidia wale wote walioathirika''

Chanzo: BBC
 
Huku kwetu raisi amewaambia mafisadi walioiba pesa za umma wazirudishe!
 
Yeye hajakaa nao wakashauriana na kuwaomba 'wapumzike' kama wazee wa escrow na bosi wao?
 
Duh! Hongereni nyie wenye wakuwasemea kwa ujasiri!
 
Tanzania JK kazi yake ni kuchekacheka tu na kukenua kenua, Ooh aaa sijui tumeshauri, tumemtaka, tumemuomba, akitaka atuachie nafasi ili tuweze kumteua mwengine
 
Haya ndio maamuzi ya mkuu wa nchi

Sio huku kwetu,anajiuma uma hata kumtoa mama Tiba

Watanzania tulifanya kosa kubwa sana
 
Tanzania JK kazi yake ni kuchekacheka tu na kukenua kenua, Ooh aaa sijui tumeshauri, tumemtaka, tumemuomba, akitaka atuachie nafasi ili tuweze kumteua mwengine

usisahau kuwa ni wananchi ndio wamemshinikiza hadi akatoa huo msimamo, wakenya wengi kwenye mitandao na activists walikuwa wamepanga kuandamana hatua isipochukuliwa dhidi ya mafisadi. Ni wajibu yetu kama wananchi kushinikiza serikali zetu kufanya kzi, tukikaa kitako na kungoja rais ama wakurugenzi walete mabadiliko wenyewe basi tunajidanganya. Tunafaa kujihusisha kuweka serikali accountable.
 
Sikuwahi kutegemea kuwa Kikwete atapigwa bao na madogo hawa Kenyatta na Kagame! Wamempiga gepu mbayaaa mno kwenye kuvaa viatu vya urais.
 
Lets wait and see; Truth is,corruption cant be done away with in kenya in short term until we see and perceive that those involved are punished;otherwise it remains to be a speech to please the public
 
Mawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10 wametajwa miongoni mwa maafisa 175 wa umma watakaolazimika kunga'atuka mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.

Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa kilichowajumuisha wabunge na maseneta.

Rais Kenyatta aliwataka maafisa wote wa umma waliotajwa katika ripoti hiyo waondoke ilituhuma zote dhidi yao zichunguzwe kwa kina na tume ya kupambana na ufisadi.

''Kwa hakika imewadia wakati ambapo serikali yangu haina budi ila kuchukua hatua mahsusi ambayo inalenga kukomesha hili zimwi la ufisadi mara moja''

UFISADI ''Ufisadi umevuka mipaka na lazima nasi tujifunge kibwebwe na kukabiliana nao''.

''Natarajia kuwa wale waliotajwa katika ripoti hii watanga'tuka mamlakani hadi pale uchunguzi utakapokamilishwa ndipo warejee afisini.'' alisema Kenyatta.

Kenyatta aliongezea kusema kuwa ''Ninamtaka kiongozi wa mashtaka ya umma kuanzisha uchunguzi mara moja kuhusiana visa vyote vilivyotajwa humu katika kipindi cha siku 60 zijazo''.

Ripoti hiyo iliyotayarishwa na tume ya kupambana na ufisadi nchini Kenya KACC inawadia wakati ambao kumekuwa na visa vingi vya ufisadi haswa katika serikali kuu na pia serikali za majimbo.

Kisa kilichozua mjadala ni kile cha 'Anglo Leasing'' ambayo ilijumuisha kandarasi za idara ya Uhamiaji idara ya upelelezi na Idara ya usalama wa taifa.

Mabilioni ya fedha yalilipwa kwa wanakandarasi waliotarajiwa kuwasilisha kazi ambazo hazikuwahi kufanyika hata wa leo.

Magavana 10 kati ya 47 wametajwa katika ripoti hiyo ambayo itatangwwa rasmi siku ya jumanne katika mabunge yote mawili.

Duru zinasema kuwa Kamati nzima ya bunge inayochunguza ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma imetajwa katika ripoti hiyo.

MSAMAHA

Aidha Rais Kenyatta aliwaomba radhi maelfu ya wakenya waliohujumiwa na serikali zilizotangulia.

Kenyatta alisema''ili wakenya waweze kusonga mbele na kusahau yaliyopita kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali zilizotangulia ni wajibu wangu kuchukua fursa hii na kuwaomba msamaha wote waliodhulumiwa kwa njia moja au nyengine.

Zaidi ya Wakenya 650,000 walifukuzwa makwao kufuatia vita vya baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2008 na tume maalum ya haki ukweli na maridhiano TJRC.

ilipendekeza kuwa sharti serikali iombe radhi kwani fedha haziwezi kufuta machungu ya mateso ambayo wakenya wamepitia''

''Hata hivyo licha ya mapendekezo ya tume hiyo ya maridhiano,nimeagiza wizara ya fedha itenge shilingi bilioni 10 dola milioni 110, katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kwa ajili ya kuwafidia wale wote walioathirika: BBC

Well done Prezo UK, that's the way to fight corruption, sio kuwachekeachekea na kuwasifia mafisadi JK style, Prezo UK can you give our JK free consultancy in how to combat corruption)!

ll
 
Lets wait and see; Truth is,corruption cant be done away with in kenya in short term until we see and perceive that those involved are punished;otherwise it remains to be a speech to please the public

Kusema na kutenda.

Surely, let`s wait and see.
 
hongera kwa hilo, ila kusimamisha tu haitosh uchunguz ukifanyika mwenye kosa aende jela

Nimesikia hotuba yake amesema wakae pembeni kupisha uchunguzi na wakikutwa na makosa mkondo wa sheria ufuatwe.Yule bwana havai bullet proof jacket
 
Mawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10 wametajwa miongoni mwa maafisa 175 wa umma watakaolazimika kunga'atuka

mamlakani katika siku 60 zijazo iliuchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.

Hayo yalibainika katika ripoti iliyotolewa bungeni na rais Uhuru Kenyatta katika kikao maalum cha bunge la taifa kilichowajumuisha wabunge na maseneta.

Rais Kenyatta aliwataka maafisa wote wa umma waliotajwa katika ripoti hiyo waondoke ilituhuma zote dhidi yao zichunguzwe kwa kina na tume ya kupambana na ufisadi.

''Kwa hakika imewadia wakati ambapo serikali yangu haina budi ila kuchukua hatua mahsusi ambayo inalenga kukomesha hili zimwi la ufisadi mara moja''

UFISADI ''Ufisadi umevuka mipaka na lazima nasi tujifunge kibwebwe na kukabiliana nao''.

''Natarajia kuwa wale waliotajwa katika ripoti hii watanga'tuka mamlakani hadi pale uchunguzi utakapokamilishwa ndipo warejee afisini.'' alisema Kenyatta.

Kenyatta aliongezea kusema kuwa ''Ninamtaka kiongozi wa mashtaka ya umma kuanzisha uchunguzi mara moja kuhusiana visa vyote vilivyotajwa humu katika kipindi cha siku 60 zijazo''.

Ripoti hiyo iliyotayarishwa na tume ya kupambana na ufisadi nchini Kenya KACC inawadia wakati ambao kumekuwa na visa vingi vya ufisadi haswa katika serikali kuu na pia serikali za majimbo.

Kisa kilichozua mjadala ni kile cha 'Anglo Leasing'' ambayo ilijumuisha kandarasi za idara ya Uhamiaji idara ya upelelezi na Idara ya usalama wa taifa.

Mabilioni ya fedha yalilipwa kwa wanakandarasi waliotarajiwa kuwasilisha kazi ambazo hazikuwahi kufanyika hata wa leo.

Magavana 10 kati ya 47 wametajwa katika ripoti hiyo ambayo itatangwwa rasmi siku ya jumanne katika mabunge yote mawili.

Duru zinasema kuwa Kamati nzima ya bunge inayochunguza ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma imetajwa katika ripoti hiyo.

MSAMAHA

Aidha Rais Kenyatta aliwaomba radhi maelfu ya wakenya waliohujumiwa na serikali zilizotangulia.

Kenyatta alisema''ili wakenya waweze kusonga mbele na kusahau yaliyopita kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali zilizotangulia ni wajibu wangu

kuchukua fursa hii na kuwaomba msamaha wote waliodhulumiwa kwa njia moja au nyengine.

Zaidi ya Wakenya 650,000 walifukuzwa makwao kufuatia vita vya baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2008 na tume maalum ya haki ukweli na maridhiano TJRC

ilipendekeza kuwa sharti serikali iombe radhi kwani fedha haziwezi kufuta machungu ya mateso ambayo wakenya wamepitia''

''Hata hivyo licha ya mapendekezo ya tume hiyo ya maridhiano,nimeagiza wizara ya fedha itenge shilingi bilioni 10 dola milioni 110, katika kipindi cha miaka

mitatu ijayo kwa ajili ya kuwafidia wale wote walioathirika''

Chanzo:
BBC
 
Back
Top Bottom