Wekijana ukapimwe nyie utapia mlo? ngoja nikuelezekidogo KUACHA NAIROBI-MOMBASA kwa sasa mchele kilo =ksh170=tsh3400, MOYALE kenya mchele kilo1=Ksh220-250=Tsh4400-Tsh5000, DAR mchele1=Tsh1700-Tsh2000=Ksh85-Ksh100,KATAVI tz mchele1=Tsh800-Tsh1000=Ksh40-Ksh50.Mahararage-MARSABIT kenya kg1=Ksh200=Tsh4000, LUKOMA kigoma tz kg1=Tsh800=Ksh40 Nieleze nani anawezakuwa na utapiamlo? naomba uzungumzie mengine upande wa chakula sisi tupo sawa tena vyema zaidshinda zao n mingi,utapia mlo,akili punguani,ufala,na zingine haziadikiki,lakini hayo mashinda yote yaletwa na elimu duni na kuropokwa ovyo
Wekijana ukapimwe nyie utapia mlo? ngoja nikuelezekidogo KUACHA NAIROBI-MOMBASA kwa sasa mchele kilo =ksh170=tsh3400, MOYALE kenya mchele kilo1=Ksh220-250=Tsh4400-Tsh5000, DAR mchele1=Tsh1700-Tsh2000=Ksh85-Ksh100,KATAVI tz mchele1=Tsh800-Tsh1000=Ksh40-Ksh50.Mahararage-MARSABIT kenya kg1=Ksh200=Tsh4000, LUKOMA kigoma tz kg1=Tsh800=Ksh40 Nieleze nani anawezakuwa na utapiamlo? naomba uzungumzie mengine upande wa chakula sisi tupo sawa tena vyema zaid
Wacha mwuongo weye enda kwa fb pages za kbc,milelefm,radiomaisha,citizen ama qfm uwaone wa tz wako asilimi 60,
Wekijana ukapimwe nyie utapia mlo? ngoja nikuelezekidogo KUACHA NAIROBI-MOMBASA kwa sasa mchele kilo =ksh170=tsh3400, MOYALE kenya mchele kilo1=Ksh220-250=Tsh4400-Tsh5000, DAR mchele1=Tsh1700-Tsh2000=Ksh85-Ksh100,KATAVI tz mchele1=Tsh800-Tsh1000=Ksh40-Ksh50.Mahararage-MARSABIT kenya kg1=Ksh200=Tsh4000, LUKOMA kigoma tz kg1=Tsh800=Ksh40 Nieleze nani anawezakuwa na utapiamlo? naomba uzungumzie mengine upande wa chakula sisi tupo sawa tena vyema zaid
Najua umeamua kuongea lakin yote ni kawaida yako nimeweka ksh-kenya shiling nimeweka = nikilenga sawa sawana-egua to, nimefanya kama ku equation, halafu unakuja kusema walim wa bongo au elim yetu ina husikaje na makosa yangu? yaani nikosee mm uwatuhum watanzania wote!Jifunze uandishi, uwe una-tabulate taarifa, hata haueleweki nini ulichoandika hapa. Hivi lazima waalimu wana kazi nyingi sana Bongo.
Hizo ni redio ulizo taja ni asilimia 2 ya redio zenu,asilimia 98 zinazungumza kikabila, wapi ramogi fm,mubende fm nk
Kikabila ndio nini hicho, fahamu sisi Wakenya tunajivunia uwezo wa kuongea lugha nyingi zikiwemo zetu za jadi, hatujatekwa akili kama mambumbumbu kuongea lugha moja kama watu wasio na asili. Wanasayansi wametoa utafiti unaodhihirisha kwa mtu kutumia lugha zaidi kunamfanya anaboreka hata kiakili, na hii ndio imetufanya Wakenya kuwa wajanja.
Tunazo redio zinazoongea lugha nyingi, lugha zetu za asili za Kiafrika, tunazo zinazoongea lugha za kubuniwa kama Kingereza na Kiswahili pia. Watoto wetu huwa tunawahamasisha kujifunza kuongea lugha kadhaa. Nimesema hapa mara nyingi kuwa mimi binafsi watoto wangu wanaongea lugha yangu ya asili pamoja na ya kwa kina mke wangu, pia wanaongea Kingereza, Kiswahili na wanajifunza hadi Kifaransa shuleni, na juzi nilishangaa sana kuona wanawasiliana wenyewe kwa wenyewe wakitumia lugha ya ishara bila kuongea, kumbe wanafunzwa tayari shuleni.
Kizazi cha sasa kinataka mjanja wa lugha sio kilaza umekomalia lugha moja na hata hiyo lugha yenyewe bado unaandika uharo, haujaimudu inavyofaa.
Wekijana ukapimwe nyie utapia mlo? ngoja nikuelezekidogo KUACHA NAIROBI-MOMBASA kwa sasa mchele kilo =ksh170=tsh3400, MOYALE kenya mchele kilo1=Ksh220-250=Tsh4400-Tsh5000, DAR mchele1=Tsh1700-Tsh2000=Ksh85-Ksh100,KATAVI tz mchele1=Tsh800-Tsh1000=Ksh40-Ksh50.Mahararage-MARSABIT kenya kg1=Ksh200=Tsh4000, LUKOMA kigoma tz kg1=Tsh800=Ksh40 Nieleze nani anawezakuwa na utapiamlo? naomba uzungumzie mengine upande wa chakula sisi tupo sawa tena vyema zaid
leo umenikosha sana ,halafu waambie kama chakula hawana waombe tanzania chakula kibao,sio waendelee kula mirungi badala ya wali
Wekijana ukapimwe nyie utapia mlo? ngoja nikuelezekidogo KUACHA NAIROBI-MOMBASA kwa sasa mchele kilo =ksh170=tsh3400, MOYALE kenya mchele kilo1=Ksh220-250=Tsh4400-Tsh5000, DAR mchele1=Tsh1700-Tsh2000=Ksh85-Ksh100,KATAVI tz mchele1=Tsh800-Tsh1000=Ksh40-Ksh50.Mahararage-MARSABIT kenya kg1=Ksh200=Tsh4000, LUKOMA kigoma tz kg1=Tsh800=Ksh40 Nieleze nani anawezakuwa na utapiamlo? naomba uzungumzie mengine upande wa chakula sisi tupo sawa tena vyema zaid
Wacha kujidanganyaNabado kenya ina import chakula maradufu ya Tanzania
Hakuna shida ya mtu kuongea lugha yake ya asili ni vizuri tujue lugha but shida kubwa ni pale sisi kama wazazi tunaposhindwa kuwatrain watoto wetu wajue kuwa kuna lugha za watu wengine na waheshimu watu wengine kwa kuwa wote ni viumbe vya Mungu yaani uko ofisi ya serikali na uko na watu wengine bado unaongea lugha ya kwenu na unaignore the presence ya wengine kana ya kwamba ni less human. Ni vizuri tuwafundishe watt wetu wawe wanarespect presence ya watu wengine wakiwakwenye groups za wau wengine coz sio ustaarabu kabisa na hii nimeiona sana kenya na kwa wahaya wa Tz.
Naomba unieleze kwasasa mchele ktk miji hiyo nishiling ngap? kama mm nimebuni toa bei yako wewehizo prices zote umebuni mwenyewe,kwa historia ya kenya hakuna wakati mchele ushawai fikisha ksh200 kwa kilo moja,twaukuza huku kwetu in large scales,the same case applies tto beans so jaribu kufurahisa nyoyo za wa tz wenzako na mengine ya kenya huyajui
Naomba unieleze kwasasa mchele ktk miji hiyo nishiling ngap? kama mm nimebuni toa bei yako wewe
unajua wewe MK254 labada hujui maana ya national ID, national ID ni pamoja na lugha,sisi watanzania tunajivunia kuzungumza kiswahili na ndio tunaiwakilisha vizuri katika dunia ya leo,kuna baadhi ya wakenya waliwah kulalamika eti kwanini idhaa ya bbcswahili imejaa watz, stupid question walitaka wajae wakenya halafu wazungumze kikikuyu ?

Nivizuri kuwa hivyo lakini mm kama upuzi huo kawa watz hatuitaji, kuzungumza kikabila wewe na mamako na ukoowako kwenu lakin uwapo na wengine full kiswahiri, niwachache ambao hawajua kabila la nyumbani hasa walio zaliwa mjini, lakin kujivunia ukabila kabila sasa ivi halina maana zaid ya kutambika tuWewe jivunie kuongea lugha moja na mimi nijivunie kuongea lugha nyingi na tuendelee, mimi nina sababu zangu za kuhakikisha ninaongea lugha kadhaa. Haswa ujanja wa kibiashara, niliwahi piga deal Bongo ambapo team yote ya wahandisi ilikua na Mchina, Mnigeria na Wamarekani kadhaa, ujanja wa Kingereza ulinifanya nikapepea kama tai, yaani nilichangamkia fursa na kukamua vya kutosha.Nguvu kazi (human resource) wa kutokea Kenya wanakubalika kote kote kwa ajili ya ujanja wa lugha na akili pia. Fuatilia hii video hapa chini uone jinsi Wakenya wanavyopiga Kichina aisei
Amewasalit wakenya, kazaliwa tz,mama baba wapo tz, hajaukana uraia wa tz, huon anakula haki za wakenya akiwa mtz, likisanuka anarudi kwaoWatanzania wakiongea bora unyamaze ulisaliti nchi yako kwa kuchukua vyeti vya Kenya bure kabisa ww
Amewasalit wakenya, kazaliwa tz,mama baba wapo tz, hajaukana uraia wa tz, huon anakula haki za wakenya akiwa mtz, likisanuka anarudi kwao