Rais Uhuru atoa hotuba fupi kwa historia ya Kenya

Rais Uhuru atoa hotuba fupi kwa historia ya Kenya

unajua wakenya wanaumia kuona natafuna dada zao kiurahisi simply wanapenda lafudhi yangu,nikiingia club mademu wakisikia lafudhi yangu utawona wanapishana kuja kuomba kampani na namba,huo ndio ukweli,hata dunia ipasuke asili yangu haitachange,kwa mara ya kwanza nimeingia duniani kupitia tanzania ,mimi ni mtanzania pia nitaleta watanzania wenzangu waje kupiga mademu wa kenya coz wako cheap sana wakigundua wewe ni mtz, , , MOTOCHINI nakukaribisha uje kuwaonja
Hahahaa falcon mm ni baba wa watoto2 mambo hayo hapana ndugu, nakuomba sana achana nao komalia salali tu, dhen ukija bongo nishtue nikukaribishe hom ZAK-M, lingine wewe umeshakuwa mwenyeji hadi unatukaribisha huko! poa bwana vipi umewai zungu kia maeneo fulani KENYA siku ya IJUMAA PILI ukakutana na mambo haya Umeisikia ya waumini kusali wakiwa hawana nguo?? Kilichofuatia je? - TZA_MillardAyo Ulijisikiaje au vip
 
ni kweli ndugu nimesikia,hapa kenya kuna hadi watu wanajiita mungu,yaani huyo mungu wao anataka tuamimi mimi na wewe tumeumbwa na huyo mungu ,anaitwa pastor wa nyonyi. pande za dar live nakujaga sana nikiwa tz,, huwa nilikuwa napataga tenda pale . mimi nipo huku ndugu yangu, nilipokuja sikuwa na mwenyeji wala rafiki wala mtu wa kunipokea ,lakini sasa nimekuwa maarufu sana hapa mombasa ,haswa kisauni ndio maskan yangu
 
Koma ndugu tafuta mshiko tu mengine potezea
 
Amewasalit wakenya, kazaliwa tz,mama baba wapo tz, hajaukana uraia wa tz, huon anakula haki za wakenya akiwa mtz, likisanuka anarudi kwao

hajasaliti Kenyans ako na vibali vya Kenya Kotambulisho na passport chaajabu ni with all the integrations at the boarder IPO cku itambidii aapishwe ili atambulike TZ .......if am not wrong hakuna dual citizenship law in tz
 
Wewe ndugu nikuulize kitu mtu anapo pata kitambulisho cha nchi huwa anakuwa nan, mkimbizi au raia? sasa huyo huko nimkenya anapata kile ukipatacho wewe kama mkenya lakini akirudi kwao anaingia kifuambele ni mtanzania
 
Umeshakubari kuwa hatuna ukabila kwanza?

Mna ukabila tena mkubwa......MNAWACHUKIA NA KUWANYANYASA WACHAGGA! na watu wenye asili ya RWANDA e. t.c .....husijaribu kutuhadaa humu!....Afrika kote pamoja hata na Asia kuna Ukabila.........shenjitype!
Halafu UDINI ndio mambo yote kwenu....mna DOUBLE -SHIT!!!.....You are in a bigger time-ticking bomb than you may want us to believe.......You are good at pretending......hilo nishaligundua hulka yenu......PRETENDERS ARE THE WORST THAN MURDERERS!:becky::becky::becky:
 
Wekijana ukapimwe nyie utapia mlo? ngoja nikuelezekidogo KUACHA NAIROBI-MOMBASA kwa sasa mchele kilo =ksh170=tsh3400, MOYALE kenya mchele kilo1=Ksh220-250=Tsh4400-Tsh5000, DAR mchele1=Tsh1700-Tsh2000=Ksh85-Ksh100,KATAVI tz mchele1=Tsh800-Tsh1000=Ksh40-Ksh50.Mahararage-MARSABIT kenya kg1=Ksh200=Tsh4000, LUKOMA kigoma tz kg1=Tsh800=Ksh40 Nieleze nani anawezakuwa na utapiamlo? naomba uzungumzie mengine upande wa chakula sisi tupo sawa tena vyema zaid

Pato lenu bado ndogo sana ...tulia......pia hii inaonyesha wazi....ndio sababu lazime mpewe kwa bei za kutupwa bure mtakufa!......Ingekua ghali ungewaona wakenya wakilalamika!
 
wewe sikweli kidogo nikueleze ukweli japo sikupaswa nikueleze kwani mm siichukii nchi yangu kwa mazuri ya jirani! nikuwa sisi hatuna ukabila kidogo kuna wanasiasa wanataka tena ndo wameanzisha kamchezo ka udini udini unaanza kusikika hasa upande wa wanasiasa lakin sisi watanzania hatujui hayo
 
Wewe ndugu nikuulize kitu mtu anapo pata kitambulisho cha nchi huwa anakuwa nan, mkimbizi au raia? sasa huyo huko nimkenya anapata kile ukipatacho wewe kama mkenya lakini akirudi kwao anaingia kifuambele ni mtanzania

MOTOCHINI Huyo wala asikupe taabu, wapo wengi tumewaruhusu wayafurahie matunda ya nchi yetu kama yeye, kwenu wamekosa mengi na imewabidi wavuke na kula na kunywa maziwa na asali. Ana wenzake tena wengi tunawalea hawa hapa.
 
Last edited by a moderator:

MOTOCHINI unajua wakenya wanamaind mimi kuchukua haki yao na kuipeleka tanzania,hawajui hata damu nzito kuliko maji,siwez kukubali nchi yangu isemwe vibaya kwa jambo la uongo. nitakuchukua vinono anavyopata MK254 na kuvipeleka nyumbani kule kulipozikwa kitovu changu,iwe dar,songea,mwanza,arusha,kagera,kigoma,zanzibar ,dodoma sitaisaliti nchi yangu,hata mungu anajua mimi ni mtz. kenya ingekuwa pahali pazuri kama wangeacha ushoga
 
Last edited by a moderator:
MOTOCHINI Huyo wala asikupe taabu, wapo wengi tumewaruhusu wayafurahie matunda ya nchi yetu kama yeye, kwenu wamekosa mengi na imewabidi wavuke na kula na kunywa maziwa na asali. Ana wenzake tena wengi tunawalea hawa hapa.
Kahio nawalio huku wamekimbia kwao? hakuna kibaya huku ndio iwe tatizo na kuishi kenya, hakuna dada mzungu alie acha utajiri na maraha kwao akaolewa na kimaskin chokambaya kenya ina maana kwao kubaya?
 
Last edited by a moderator:
Kahio nawalio huku wamekimbia kwao? hakuna kibaya huku ndio iwe tatizo na kuishi kenya, hakuna dada mzungu alie acha utajiri na maraha kwao akaolewa na kimaskin chokambaya kenya ina maana kwao kubaya?

huyu mk254 asipokuelewa, basi hata shule alikuwa kilaza
 
kiaina nakubaliana na wewe, ila fahamu umuhimu wa lugha ni watu kuelewana. Nikiona Mturkana mwenzangu atanielewa vizuri nikimpa maagizo kwa Kiturkana, basi sioni haja ning'eg'anie Kingereza na Kiswahili. Fahamu hata hicho Kiswahili kuna mtu atakutembelea Tanzania na hakifahamu, sasa ukimtembeza na ukutane na jamaa wako, ina maana mtanyamaziana maana utakua hutaki mgeni wako ahisi vibaya.

Ukiingia ndani ya daladala Kenya, watu wamekaa wakiongea yao kwa lugha zao, huna haja ya kuelewa wanachokisema maana huwafahamu na haikuhusu. Kitu ambacho hakifai ni matumizi ya lugha yako hata kwa masuala official na wakati kuna watu wa lugha zingine karibu. Kwa mfano kuna kipindi nilikerwa sana na afisa wa uhamiaji Kenya kwa kuniongelesha kilugha baada ya kuona majina yangu, ilhali tulikua kwenye foleni na walikuwepo watu wa lugha zingine, hiyo kwa kweli haikunipendeza, na niliona kama amewanyanyasa watu waliokuwepo pembeni.

Lakini hamna kitu kibaya wakati watu wanafurahia asili yao, tatizo ni wakati inatumika vibaya, kwa mfano kwa kuwabagua watu wengine.

umeongea kweli mimi kenya kila napopita masemeshwa kikuyu huwa mpk nawauliza kwani niko na label usoni kunionyesha mi ni mkikuyu but nimejaribu kuwaelimisha marafiki zangu wakiwa na mimi siwakatazi wasiongee lugha ya mama but kwa ustaarabu niambie mama au rafiki ngoja tuongee kinyumbani kidogo hiyo inaeleweka lakini watu wamekuja kwako wanaanza kuongea lugha zao na wewe wanakuignore kama haupo hiyo ndio maana inaonyesha jinsi gani watoto toka wakiwa wadogo hawafundishwi ustaarabu.
 
Ila tuseme ukweli jamani.wakenya wana sura mbaya sana.mungu anisamehe.
 
Wewe jivunie kuongea lugha moja na mimi nijivunie kuongea lugha nyingi na tuendelee, mimi nina sababu zangu za kuhakikisha ninaongea lugha kadhaa. Haswa ujanja wa kibiashara, niliwahi piga deal Bongo ambapo team yote ya wahandisi ilikua na Mchina, Mnigeria na Wamarekani kadhaa, ujanja wa Kingereza ulinifanya nikapepea kama tai, yaani nilichangamkia fursa na kukamua vya kutosha.

Nguvu kazi (human resource) wa kutokea Kenya wanakubalika kote kote kwa ajili ya ujanja wa lugha na akili pia.
Fuatilia hii video hapa chini uone jinsi Wakenya wanavyopiga Kichina aisei Kenyans learning Chinese in Confucius Institute - China.org.cn

Umeshaanza majigambo yasio na maana yeyote. Lugha sio sababu ya kuwa mfanyakazi bora wala kuwa na maarifa mengi. Kuna nchi ambazo wataalamu wao hawajui kingereza na still they are the best.

Wafanyakazi wa kenya hamna akili kama bongo endeleeni kufanganyana. Kazi zenu ni low end jobs kama kuwa bar tender, kuwapikia wanafunzi wa nursery. Hamna mnachojua watanzania hawajui.
 
leo umenikosha sana ,halafu waambie kama chakula hawana waombe tanzania chakula kibao,sio waendelee kula mirungi badala ya wali
Na tumefunga mipaka kwa mazao ya nafaka maana wakenya wengi ndo walikua wanaongoza kununua mazao mashamban,watakufa na njaa mwaka huu
 
Back
Top Bottom