Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio unatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Failures za Mr "Mkokoteni" anazihamishia kwa watu wasiohusika.Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Ruto mbona anaongozwa na hasira hiviSerikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
That is illegal. Ruto is doing the dirty work that will cost him his powerSerikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Na vinatishia vipi usalama hata wa county moja tu, achililia mbali linchi lenye jeshi kamili!Ruto bure kabisa,sasa vibunduki 28 vinaimpact gani katika maendeleo ya mkenya
Kuna wastaafu wana viherehere japo wamemaliza kazi zao wanataka bado waongoze nchi kwa matakwa yao ile hali wamestaafu.Sooner naiona Kenya ikizama kwenye machafuko.
Ruto alipaswa awaache wastaafu wapumzike, then alipaswa adhibiti anao dhania wanapewa nguvu na wastaafu.
Lakini pia naona Ruto akiiongoza Kenya na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira ama hisia. Badala yake alipaswa amuombe Mungu wake ampe hekima na busara ili aongoze nchi vyema.
Ndiyo maana Tanzania Mkristo thehebu la Protestant haruhusiwi kuwa rais. Sasa ninaona logic. Protestant is too religious hata kwa vitu vya kawaida na kaishasimamia jambo walau kwa hisia tu basi ni hapohapoSooner naiona Kenya ikizama kwenye machafuko.