Rais Uhuru Kenyatta aagizwa kurejesha bunduki zote familia yake inazomiliki

Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.

Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
This is ridiculous! Badala ya kutatua matatizo ya, wananchi, Ruto nae ameamua kufanya siasa za matope, hii politicision of regal system, haitamuacha salama, a weke wazi kama kweli wanamiriki siraha isivyo halali,
 
Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.

Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Political motivated move.... anyway yule kiongozi wa Mungiki aliyekamatwa na polisi amejulikana alipo.

MK254 zitto junior
 
Ndiyo maana Tanzania Mkristo thehebu la Protestant haruhusiwi kuwa rais. Sasa ninaona logic. Protestant is too religious hata kwa vitu vya kawaida na kaishasimamia jambo walau kwa hisia tu basi ni hapohapo
Acha uongo na chuki za kimadhehebu
 
Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.

Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
 
Sooner naiona Kenya ikizama kwenye machafuko.
Ruto alipaswa awaache wastaafu wapumzike, then alipaswa adhibiti anao dhania wanapewa nguvu na wastaafu.
Lakini pia naona Ruto akiiongoza Kenya na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira ama hisia. Badala yake alipaswa amuombe Mungu wake ampe hekima na busara ili aongoze nchi vyema.
Ngoja wachapane
 
Waacheni wakenya wafanye ya kwao, tujitahidi kuacha ujuaji. Huku mbona kuna wastaafu wanashutumiwa kufanya mauaji kwa kujificha kwenye kivuli cha nchi ya amani.
 
Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.

Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
🤔🤔🤔🤔😅
Aduyi ya Mserikali
 
Kazuia pia Maziwa ya Brookside Uganda ambayo ni Kampuni ya Kenyata kuingia Kenya.

Its all out war
Si tuliambiwa Kenya ni nchi ya kidemokrasia kweli kweli?

Huu udikteta unatokea tena wapi?
 
Mnataka Uhuru awe kama huku ashike remote kumuongoza Ruto ? Kama kamaliza muda wake atulie mbona yeye hakuingiliwa na Mzee Kibaki? Atulie ale pension zake.
 
Back
Top Bottom