Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Kimenuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona unaongoza kwa kudhibiti wengine maana yake kazi imekushinda na hukubaliki, madikteta na manchi maskini ndio yanaongoza kwa kudhibiti wengine, Waafrica wameamka huwezi kuwaburuza unavyotaka, CCM mwisho wao unakaribia labda wabadilikeSooner naiona Kenya ikizama kwenye machafuko.
Ruto alipaswa awaache wastaafu wapumzike, then alipaswa adhibiti anao dhania wanapewa nguvu na wastaafu.
Lakini pia naona Ruto akiiongoza Kenya na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira ama hisia. Badala yake alipaswa amuombe Mungu wake ampe hekima na busara ili aongoze nchi vyema.
Ana haki ya kuongea kama raia piaMnataka Uhuru awe kama huku ashike remote kumuongoza Ruto ? Kama kamaliza muda wake atulie mbona yeye hakuingiliwa na Mzee Kibaki? Atulie ale pension zake.