Rais Uhuru Kenyatta aagizwa kurejesha bunduki zote familia yake inazomiliki

Huyu Ruto ninamkubali Sana kama MH.MAGUFULU TU R.I.P MAGUFULI naona slogan Yako Ruto anaifuata.
 
Huyu Rais naona anajichimbia kaburi mwenyewe
Huu si uungwana na sio njia ya kuiongoza nchi
Jirani acheni haya mambo, ni muda wa kusonga mbele kuliko kuishi na vinyongo rohoni na uadui

Hasira Hasara, mtauana bure kwani hata mstaafu ana watu wake pia
 
Huyu Rais naona anajichimbia kaburi mwenyewe
Huu si uungwana na sio njia ya kuiongoza nchi
Jirani acheni haya mambo, ni muda wa kusonga mbele kuliko kuishi na vinyongo rohoni na uadui

Hasira Hasara, mtauana bure kwani hata mstaafu ana watu wake pia
Lakini pia naona Ruto akijiandalia kisasi kwa mikono yake pindi tu atakapo staafu, ama akiendelea kwa akili hizi basi namtazama kama Rais atakae badilisha katiba ili asalie madarakani hata baada ya muhula wake kuisha.
Mwisho kabisa namtabiria Ruto jambo baya kumtokea akiwa bado madarakani.
 
Sasa Uhuru aliuliza
Wanapotaka mwanae arejeshe silaha hiyo inaleta tafsiri gani kiusalama?

Kwamba wanaondolewa uwezo wa kujihami wanapoingiliwa na adui.

Lengo lake Ruto hapo ni kutaka kuwafanyaje hao watu kwa haraka haraka?
 
Means mwanae alipowasiliana na baba yake na kumwambia amevamiwa na vijana wa DCI na kumwambia wasifanye upekuzi hadi afike nao waliona mbali wakaondoka kuna jambo Ruto analitafuta na atalipata soon, Odinga & Uhuru wamekulia Ikulu hao wana network kubwa ngoja Ruto ashoboke na ushamba wake mpuuzi 1 huyo
 
Ndiyo maana Tanzania Mkristo thehebu la Protestant haruhusiwi kuwa rais. Sasa ninaona logic. Protestant is too religious hata kwa vitu vya kawaida na kaishasimamia jambo walau kwa hisia tu basi ni hapohapo
Dhehebu la hovyo coz linafundisha ubahili means selfish
 
..... VP !!
 
Ruto amepotea si hivyo asilani......hapo biff linahamia kabila sasa....Yaani term 2 hapitiiii kipindi kigumu sana hadi afike huko..ngoja tuone
 
Atakufa karibuni na yule mzee ambae hata baba yake alipania urais akaishi kuwa VP
Huyu mzee Raila nae siku zake zinahesabika tu maana kakosa Urais miaka kibao sasa anaona liwalo na liwe

Kwa upande mwingine historia ya Kenya wanasiasa huwa wanauana tangu Enzi kwa hiyo sintashangaa yakitokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…