JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
This is ridiculous! Badala ya kutatua matatizo ya, wananchi, Ruto nae ameamua kufanya siasa za matope, hii politicision of regal system, haitamuacha salama, a weke wazi kama kweli wanamiriki siraha isivyo halali,Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Dogo inakuwaje?Kama mbwai na iwe mbwai. Akae aache na wengine waongoze ebooo!
Political motivated move.... anyway yule kiongozi wa Mungiki aliyekamatwa na polisi amejulikana alipo.Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Shwari ndugu yangu. Naona uko busy na akina Elanga. Ushakuwa mzungu kabisaππππDogo inakuwaje?
Acha uongo na chuki za kimadhehebuNdiyo maana Tanzania Mkristo thehebu la Protestant haruhusiwi kuwa rais. Sasa ninaona logic. Protestant is too religious hata kwa vitu vya kawaida na kaishasimamia jambo walau kwa hisia tu basi ni hapohapo
Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Watajuana wenyewe huko πΆπΆπΆ
Kwani hujui? Au unajizima data?Acha uongo na chuki za kimadhehebu
HahahaShwari ndugu yangu. Naona uko busy na akina Elanga. Ushakuwa mzungu kabisaππππ
Ulokole wa kinafiki tu!;Ruto ni mlokole wa mchongo tu!Dhehebu la hovyo coz linafundisha ubahili means selfish
Anahusika Kwa asilimia mia mojaFailures za Mr "Mkokoteni" anazihamishia kwa watu wasiohusika.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Amuwachee...
Ruto mbona anaongozwa na hasira hivi
Ngoja wachapaneSooner naiona Kenya ikizama kwenye machafuko.
Ruto alipaswa awaache wastaafu wapumzike, then alipaswa adhibiti anao dhania wanapewa nguvu na wastaafu.
Lakini pia naona Ruto akiiongoza Kenya na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira ama hisia. Badala yake alipaswa amuombe Mungu wake ampe hekima na busara ili aongoze nchi vyema.
π€π€π€π€πSerikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta.
Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
Si tuliambiwa Kenya ni nchi ya kidemokrasia kweli kweli?Kazuia pia Maziwa ya Brookside Uganda ambayo ni Kampuni ya Kenyata kuingia Kenya.
Its all out war