Sooner naiona Kenya ikizama kwenye machafuko.
Ruto alipaswa awaache wastaafu wapumzike, then alipaswa adhibiti anao dhania wanapewa nguvu na wastaafu.
Lakini pia naona Ruto akiiongoza Kenya na kufanya maamuzi kwa kuongozwa na hasira ama hisia. Badala yake alipaswa amuombe Mungu wake ampe hekima na busara ili aongoze nchi vyema.