britanicca hivi umetuona wote humu ni watoto wa la nne B.Hivyo hata Magufuli hamjakutana naye akiamua anatokea huko Nyuma anaenda zake,
Mbona kuna kipindi walinzi walimzuia kutokea geti la mbele, akawa mjanja akarudi nyuma kama anaokota okota uchafu mara huyo kaibukia kwa Wavuvi, akaanza kupiga nao story, baada ya Muda wale jamaa kugundua ndo wakaanza kufurika kuleta ulinzi,
Britannica
Mungu ibariki Kenya
Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Umenielewa? Nimesema walinzi wanakuwapoAcha kutudanganya hapa siku ile anaenda kuongea na wale jamaa pale sokoni unataka tuamini kuwa alitoroka? Je walinzi wake walikuwa wapi? Hata Hapo Uhuru Kenyata au JK kama anaendesha mwenyewe lazima kuna magari hata 2 ya walinzi wanakuwepo ila nawao wanakuwa wanafuata foleni nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Miguna Miguna unamfahamu mkuu?Hajatengeneza maadui na upinzani kwake ni sehemu ya siasa.
Hapana hata la nne hamjafikabritanicca hivi umetuona wote humu ni watoto wa la nne B.
alikuwa anajifungia ndani?Uache kujifungia ndani kama msukule.
Sio kweli, ukiipitia system yake ya ulinzi inayoambatana nae visible and invisible utaelewa! No free head of state ever!Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Hivi utajiri wa kina Uhuru ulipatikanaje mkuu?Kuzaliwa unaona ng’ombe na kukua unachunga ng’ombe ni shida. Kutoa damu kwako si shida. UK amezaliwa kwenye bata, bila urais yeye ni tajiri.
Ukiitwa kutoa ushahidi utakwenda? Madaraka yasiwafanye kudhani mnaweza kuropoka chochote juu ya kiongozi yeyote. Ujue UK siyo Mbowe.Kwa nini wamuue UK wakati yeye ndiye anatoa pesa za kuwawezesha hao Al Shabab
Huo ni mchezo wa western power ambao UK ameuridhia. akishirikuana na vigogo wa Al Shabab
Hahah bora umemchana aisee.britanicca hivi umetuona wote humu ni watoto wa la nne B.
Inafundisha kwamba lile zee la chato likijaribu kumwiga Kenyatta litapigwa mawe Kama kibaka
Tena bila kuvaa ma-bullet proof !!Nyerere alikuwa anaendesha baiskeli!