- Thread starter
- #61
Mlikunywa naye dafu wapi.alikuwa anajifungia ndani?
Mbona mwenzake tunakunya naye madafu mtaani? tena akiwa anatembea kwa miguu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlikunywa naye dafu wapi.alikuwa anajifungia ndani?
Mbona mwenzake tunakunya naye madafu mtaani? tena akiwa anatembea kwa miguu.
Wekeni kumbukumbu sawa.Keshaenda ferry na akakaa na wauza samaki,mwanza aliwanunulia chakula watu airport,Chato alikwenda kwenye kijiwe chake alipokuwa napaigia rangi viatu,juzi hapa kanunua madafu mtaani......
kuna mtu amekataa.
Mungu hasipo ulinda mji, wakeshao ufanya kazi buree.Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
rais wa wanyonge, sio wengine wanalindwa na walinzi toka nje + helcopta na bado wanajiita rais wa wanyongeLicha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Huyo unaemjibu ndiye YEYE mkuu!Uache kujifungia ndani kama msukule.
Kuzaliwa unaona ng’ombe na kukua unachunga ng’ombe ni shida. Kutoa damu kwako si shida. UK amezaliwa kwenye bata, bila urais yeye ni tajiri.
Siyo kwa Tanzania ya leo.Nyerere alikuwa anaendesha baiskeli!
Kadanganye wapumbavu wenzio huko Lumumba.Mbona ili ni jambo la kawaida sana?
Hata Jakaya niliwahi kutana naye Ocean Road mwaka 2008 akiwa anaendesha mwenyewe, na hakuna mtu angemgundua maana gari lilikuwa na Plate number ya kawaida, alafu wakati anarudi kutoka anakotoka ndipo akasimama kumsalimia jamaa (Mr Salu wa IFM)
Kwa Uhuru Kenyatta yeye anaenda mpaka mazingira hatarishi zaid kuna sehem inaitwa Kayole kuna wahuni wengi anaenda mpaka huko, cha msingi uwa anabeba mpunga wa kutosha,
Hivyo hata Magufuli hamjakutana naye akiamua anatokea huko Nyuma anaenda zake,
Mbona kuna kipindi walinzi walimzuia kutokea geti la mbele, akawa mjanja akarudi nyuma kama anaokota okota uchafu mara huyo kaibukia kwa Wavuvi, akaanza kupiga nao story, baada ya Muda wale jamaa kugundua ndo wakaanza kufurika kuleta ulinzi,
Mara Nyingi huwa ni scenario za kutengeneza maana hawa marais huwa wana watu wao kwamba ntaenda sehem, we unaona hakuna ulinzi kumbe umeimarishwa sana, usije thubutu hata siku moja kukutana na president akiwa mwenyewe ukafurahi kwamba umepata nafasi ya kutimiza unalotaka , utakufa kabla ya siku zako
Britannica
Inafundisha kwamba lile zee la chato likijaribu kumwiga Kenyatta litapigwa mawe Kama kibaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni teja kesha zoea machimbo nikama teja kwenye mavazi unaweza mpa nguo nzuri safi akaziacha na kuvaa malapulapuLicha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Huyo mwenye ushungi utakuta ni TISS wa huko kwao.
BTW: kwa nini marais wa nchi zetu wanaona ni sifa kusaidia maskini barabarani kwa kuwapa vihela vichache badala ya kupambana kufuta umaskini?
So what?
Yeye huwa anapita kwa miguu na anakula na karanga na madafu na wananchi.