Rais Uhuru Kenyatta akiendesha gari kwenye mitaa ya jiji la Nairobi jana.

Rais Uhuru Kenyatta akiendesha gari kwenye mitaa ya jiji la Nairobi jana.

Hahahaaa! Hata Jiwe ungemzoom hao wa pembeni usingewaona.
Umburula shida sana!
Dont tell us akili zako zinaamini alikuwa peke yake na Ombaomba tu!
....maana akili za makamanda tangu chama kiuzwe kwa maccm ni shida kweli.
Nani kasema alikuwa peke yake au unajisemea semea tu kama zuzu.
 
Magu kaza hivyo hivyo baba, haya ma_chadeema majizi hayana nafasi. Ulinzi ni muhimu kwako hata ukiwa unaenda chooni. Wewe ndio kauli ya mwisho na unapambana na majizi yaliyo jimilikisha nchi LAZIMA ULINDWE na hakuna haja ya kuzurura mitaani sijui nini ila ukijiskia zurura nchi yetu haina magaidi, hakuna vita ya wenyewe kwa wenyewe. Magu mpaka 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti magu mpaka 2025,umekuwa Mungu wewe unayeijua kesho ya mtu? Swine mkubwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwenye ushungi utakuta ni TISS wa huko kwao.

BTW: kwa nini marais wa nchi zetu wanaona ni sifa kusaidia maskini barabarani kwa kuwapa vihela vichache badala ya kupambana kufuta umaskini?


Hapo kampa hela au ameshusha kioo kumsalimia. Nampenda sana UK kabla hata hajawa rais wish ingemwona nishake hand nae tuu
 
Nani kasema alikuwa peke yake au unajisemea semea tu kama zuzu.
Ni bora umegundua kuwa picha ya Kenyata na ya Jiwe ulizotoa, mwenye akili hawezi kuzilinganisha na kuconclude.
Hongera!
 
Hapo kampa hela au ameshusha kioo kumsalimia. Nampenda sana UK kabla hata hajawa rais wish ingemwona nishake hand nae tuu

Awe amempa hela au ameshusha kioo, yeye hapo anatafuta political milage kwamba he is cool to anybody, mtu wa watu.

My point: he shouldn't be cool kuona mitaani kumejaa maskini, ni kama anawa joke.
 
Back
Top Bottom