Rais Uhuru Kenyatta akiendesha gari kwenye mitaa ya jiji la Nairobi jana.

Sometimes hua unatoa vi_comments kama binti ambae hajavunja ungo. Ni hatari sana hawa ndio wasomi wetu, ndio wazee wetu few years to come. Shame
Kuzaliwa unaona ng’ombe na kukua unachunga ng’ombe ni shida. Kutoa damu kwako si shida. UK amezaliwa kwenye bata, bila urais yeye ni tajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadanganye wapumbavu wenzio huko Lumumba.
 
Magu kaza hivyo hivyo baba, haya ma_chadeema majizi hayana nafasi. Ulinzi ni muhimu kwako hata ukiwa unaenda chooni. Wewe ndio kauli ya mwisho na unapambana na majizi yaliyo jimilikisha nchi LAZIMA ULINDWE na hakuna haja ya kuzurura mitaani sijui nini ila ukijiskia zurura nchi yetu haina magaidi, hakuna vita ya wenyewe kwa wenyewe. Magu mpaka 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi Uhuru Kenyatta ni kiboko ya Maalshababu na Serikali yao.
 
Huyo aliepiga picha ni mtu wa kitengo kwenye kioo cha side mirror unaziona gari nyeusi nyuma ya gari la Raisi ni gari za Kitengo huyo mama anaweza kuwa mkimbizi wa Kisomali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…