Hahahaaa! Hata Jiwe ungemzoom hao wa pembeni usingewaona.
Nani kasema alikuwa peke yake au unajisemea semea tu kama zuzu.Hahahaaa! Hata Jiwe ungemzoom hao wa pembeni usingewaona.
Umburula shida sana!
Dont tell us akili zako zinaamini alikuwa peke yake na Ombaomba tu!
....maana akili za makamanda tangu chama kiuzwe kwa maccm ni shida kweli.
Aisee nimependa jibu lako chukua hiyo[emoji109][emoji109]Uache kujifungia ndani kama msukule.
Punda kweli wewe, aliyekuambia Yupo peke yake ni mama yako?Jitokeze wewe uone utakavyo liwa kiboga na vidume wavaa miwano. Unadhani UK hapo yupo mwenyewe? Ungeenda hata ukampige kofi alaf urudishe mrejesho hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine watachekeleaje![emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha!!!!nakumbuka jamaa kwenye ile clip marekani[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Punda kweli wewe, aliyekuambia Yupo peke yake ni mama yako?
CHADEMA walikuibia mkeo mbwa wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti magu mpaka 2025,umekuwa Mungu wewe unayeijua kesho ya mtu? Swine mkubwa weweMagu kaza hivyo hivyo baba, haya ma_chadeema majizi hayana nafasi. Ulinzi ni muhimu kwako hata ukiwa unaenda chooni. Wewe ndio kauli ya mwisho na unapambana na majizi yaliyo jimilikisha nchi LAZIMA ULINDWE na hakuna haja ya kuzurura mitaani sijui nini ila ukijiskia zurura nchi yetu haina magaidi, hakuna vita ya wenyewe kwa wenyewe. Magu mpaka 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app
nani ana shida na chiziUkimuona Magu kitaa peleka kijambio chako pale ukalete fujo, uone unavyo liwa hilo shimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti magu mpaka 2025,umekuwa Mungu wewe unayeijua kesho ya mtu? Swine mkubwa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwenye ushungi utakuta ni TISS wa huko kwao.
BTW: kwa nini marais wa nchi zetu wanaona ni sifa kusaidia maskini barabarani kwa kuwapa vihela vichache badala ya kupambana kufuta umaskini?
Ni bora umegundua kuwa picha ya Kenyata na ya Jiwe ulizotoa, mwenye akili hawezi kuzilinganisha na kuconclude.Nani kasema alikuwa peke yake au unajisemea semea tu kama zuzu.
..mbona Jiwe tulimuona kwenye picha akiendesha ndege yetu/ dreamliner?
Hapo kampa hela au ameshusha kioo kumsalimia. Nampenda sana UK kabla hata hajawa rais wish ingemwona nishake hand nae tuu
Licha ya Kenya kuwa na msuguano na Al Shabab ila UK huwa anajiachia sana.
Ni kujiamini au nini?
Kama ile ya kuomba omba ada za shule wabeba box wa trump? Njaa hiyo hatuwezi kuiruhusu kuingia ChamwinoUhuru hana njaa.
jamaa yupo smart.