Rais Uhuru Kenyatta akiendesha gari kwenye mitaa ya jiji la Nairobi jana.

Ndio wanavyojidanganya eti hapo hakuna ulinzi 😂😂😂
Si ajabu Lane nzima hiyo yakawa ni magari ya secret service tu,akitaka kuprove asogelee hilo gari kwa nia ovu ndio Atajua hapo yupo peke yake au sio.
 
Ndio wanavyojidanganya eti hapo hakuna ulinzi 😂😂😂
Si ajabu Lane nzima hiyo yakawa ni magari ya secret service tu,akitaka kuprove asogelee hilo gari kwa nia ovu ndio Atajua hapo yupo peke yake au sio.
Hahahaha
 
Inaonesha wewe unajua kila kitu, hongera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelele mingii hakuna kitu kina badilika. Nendeni mkashtaki mahakama ya hard talk, voa au BBC. Nyum.bu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu mkubwa wewe, Kenge wa kapuya,huna hata aibu, chama Kuanzia Shina hadi mizizi ni ma zero brain wote, jitu limejificha Kama nyoka shimoni uchumi unakufa ,mbuzi Kama wewe Unayejua kula na kwenda chooni unashangilia.
Eti tupo kwenye vita vya uchumi, mnapigana na nani hiyo vita ? na Lissu?
Na ngoja, muda si mrefu mtakosa hata hiyo buku 7,sijui mtaishije na humu mtatoweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…