Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
- Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa KSh 180 bilioni

- Uhuru atafanya mkutano wa kibiashara na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron katika ikulu ya Élysée

- Fedha hizo zinatarajiwa kugharamia ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit yenye umbali wa kilomita 190

- Kulingana na katiba, Rais anapaswa kumuachia naibu wake majukumu kwa muda ambao hatakuwa nchini

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuondoka nchini Jumatano, Septemba 30, 2020 kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya mkutano wa kibiashara.

Kikatiba, Naibu wake William Ruto anapaswa kushikilia nafasi ya urais hadi atakaporejea nchini baada ya kukamilisha shughuli zake.

Rais atafanya mkutano na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu mkopo wa KSh 180 bilioni ambao unatarajiwa kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit.

Barabara hiyo inasemekana ni ya umbali wa kilomita 190.

Hii inakuwa safari ya kwanza ya kimataifa kwa Rais Uhuru Kenyatta tangu kisa cha kwanza cha virusi vya corona kiliporipotiwa nchini Machi 13.

Hata hivyo, Rais na naibu wake hawajakuwa wakionekana pamoja kwa umma kama walivyokuwa hapo awali hasa wakati wa muhula wa kwanza walipoingia afisini.

Licha ya tofauti ambazo zimekithiri kati yao kwa miezi za hivi majuzi, Wakenya wamesubiri kuona iwapo Rais atampokeza naibu wake majukumu yake kabla ya kuondoka nchini.

Macho ya Wakenya sasa yameelekezwa kwa Ruto, wengi wangependa sana kuona utendakazi wake akiwa amekalia kiti cha Rais hata iwe kwa siku mbili.

---
MY TAKE: Hivi hali ya maambukizi ya Corona Ufaransa yakoje?
 
Uhuru kusafiri kwenda Ufaransa, Ruto atarajiwa kuchukua majukumu ya urais
View pictures in App save up to 80% data. Uhuru kusafiri kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa KSh 180 milioni
Rais atafanya mkutano na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu mkopo wa KSh 180 bilioni ambao unatarajiwa kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit.

Barabara hiyo inasemekana ni ya umbali wa kilomita 190.

Hii inakuwa safari ya kwanza ya kimataifa kwa Rais Uhuru Kenyatta tangu kisa cha kwanza cha virusi vya corona kiliporipotiwa nchini Machi 13.
Uhuru kusafiri kwenda Ufaransa, Ruto atarajiwa kuchukua majukumu ya urais
View pictures in App save up to 80% data. Uhuru kusafiri kwenda Ufaransa, Ruto atarajiwa kuchukua majukumu ya urais
Hata hivyo, Rais na naibu wake hawajakuwa wakionekana pamoja kwa umma kama walivyokuwa hapo awali hasa wakati wa muhula wa kwanza walipoingia afisini.

Licha ya tofauti ambazo zimekithiri kati yao kwa miezi za hivi majuzi, Wakenya wamesubiri kuona iwapo Rais atampokeza naibu wake majukumu yake kabla ya kuondoka nchini.

Macho ya Wakenya sasa yameelekezwa kwa Ruto, wengi wangependa sana kuona utendakazi wake akiwa amekalia kiti cha Rais hata iwe kwa siku mbili.

---
MY TAKE: Hivi hali ya maambukizi ya Corona Ufaransa yakoje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Do you understand the meaning of PPP?
 
The project is expected to be undertaken on a PPP basis that will see the consortium raise finances for the road, design, construct, maintain and operate the road on pre-agreed standards and specifications.

Sources told the Nation that a tolling fund is expected to be established later this year.

“The modalities of the agreement, or of the establishment of the tolling fund are not known yet,” a source with knowledge of the matter said.

Efforts to get a clarification over the matter from Transport Cabinet Secretary James Macharia were futile as he was unavailable on phone.

But in an earlier interview, Mr Macharia told the Nation that the Cabinet had decided to prioritise two PPP’s project in order to ease the nightmare for users between Jomo Kenyatta International Airport and Westlands, and those who use the Nairobi-Naivasha-Nakuru highway.

“We decided to give priority to two Public Private Partnership projects,” he said.

Under the PPP model, investors are expected to raise finances for the two road projects and design, construct, maintain and operate them on pre-agreed standards and specifications. The concession for both roads has been capped at 30 years.

Last year, KeNHA’s Director-General Peter Mundinia said the contractor will be expected to recover their funds from the road through a user fees (tolls), after designing, building, and maintaining it within the agreed time-frame. It is also understood that the contractor will be granted the operation and maintenance of the Southern Bypass, including the Gitaru to Rironi segment within Kiambu County.

As per the contract, the Rironi-Mau Summit project will see the contractor expand the 175 kilometres between Rironi in Limuru to Mau Summit in Nakuru County into a four-lane dual carriageway.

It will also entail the re-carpeting of Rironi–Mai Mahiu– Naivasha road.
 
WAJAMENI MTOA UZI EMBU ACHA JADEN AKWENDE PARIII APATE FRESHY AIR KIDOGO...NA USISAHAU ANASAKA MAENDELWO YA TAIFA LAKE BY UDI NA UVUMBA ATA WENYU PIA ANAWEZA PANDA NDEGW AKAENDA HUKO NG'AMBO. " one kenyan speak out
 
Peleka upuuzi wako huko, sasa katika PPP serikali inahusikaje kuomba mkopo, wakati jukumu la kutafuta pesa ni la huyo muwekezaji?

State refutes claims Uhuru headed to France to sign Sh180bn loan deal
Waita says public private partnership project cannot be said to be a loan deal.
In Summary
• Chief of Staff in the Office of The President Nzioka Waita on Tuesday said such reports are 'misleading' and 'full of lies'.
• Waita was responding to a story by the Daily Nation which said Uhuru will leave the country on Wednesday to sign a Sh180 billion deal.
French President Emanuel Macron is greeted by President Uhuru Kenyatta at State House on March 13, 2019.
French President Emanuel Macron is greeted by President Uhuru Kenyatta at State House on March 13, 2019.
Image: REUTERS
The government has refuted claims that President Uhuru Kenyatta is headed to France to sign a loan deal.
Chief of Staff in the Office of The President Nzioka Waita on Tuesday said such reports are 'misleading' and 'full of lies'.
Waita was responding to a story by the Daily Nation which said Uhuru will leave the country on Wednesday for the Sh180 billion loan deal.

According to the Daily Nation, the money would be used for the dualling of the 190-kilometre Rironi-Nakuru-Mau Summit Road.
The article said Kenya’s signing of the tolling concession pact with a consortium of French firms under Rift Valley Connect led by Meridiam Infrastructure Africa Fund will unlock the funding of the road, which once complete will be the country’s first toll highway outside Nairobi.

But Waita hit back saying, "How does a Public-Private Partnership become a loan? Your story is an outright lie".
Waita said the Nakuru-Mau Summit Super Highway will be a toll road given to a concessionaire to finance, build and operate.
He said through the Toll Fund recently enacted by the National Assembly the government will guarantee the availability of traffic.
"The combined effect of expanding Waiyaki Way from James Gichuru - Rironi and the new toll road from Rironi - Mau Summit will completely transform the economies of counties along the route," he said.
He added, "Later the planned Mau Summit - Malaba expansion will complete the corridor to western Kenya".

The road once complete will be a key segment of the Northern Corridor which will significantly cut travel time for both people and goods, reducing the cost of doing business.
The Kenya National Highways Authority (KeNHA) last year awarded the construction tender to a French firm Meridiam International, with others in the consortium including Vinci Highways SAS and Vinci Concessions SA.
The project is expected to be undertaken on a PPP basis that will see the consortium raise finances for the road, design, construct, maintain and operate the road on pre-agreed standards and specifications.
 
Uhuru just went to France to sign the PPP deal.
Hakuna mtu ataamini kinachosemwa na GoK kuhusu mikopo, baada ya wakenya kupiga kelele kuhusu kuongezeka kwa deni la Taifa, sasa hivi serikali imeamua kukopa kimya kimya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shidako hauna akili, when Macron came to Kenya in 2019 what was his main aim of coming. The agreement for the PPP project was reached last year when Macron was in Kenya, Uhuru only went there to sign the agreement.
Kenya, France agree on deals worth Sh340bn » Capital News
 
Sema upendavyo, lakini hakuna mtu yeyote atakayeamini GoK, wakenya wenyewe wameshachoka sana tu, labda wewe tu ndiye umebaki kutetea Failed administration.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha hivi kwanini miradi yote inayofilisi Taifa lenu ni ya Nairobi?

Miradi yote ipo central Kenya na yote ni ya kifisadi.
Kwani Nakuru iko Nairobi ?
Is kericho in Nairobi?
This is a road that starts at the border between Nairobi and Kiambu County and ends in Kericho county. The second phase will be from Kericho to Malaba
 
Hahahaha hivi kwanini miradi yote inayofilisi Taifa lenu ni ya Nairobi?

Miradi yote ipo central Kenya na yote ni ya kifisadi.
Do you know if we start looking at projects region by region between Kenya and Tanzania your nation will always trail Kenya?
 
Sema upendavyo, lakini hakuna mtu yeyote atakayeamini GoK, wakenya wenyewe wameshachoka sana tu, labda wewe tu ndiye umebaki kutetea Failed administration.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Piga tu kelele hapo wakati sisi tunasonga mbele.
 
Back
Top Bottom