Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

- Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa KSh 180 bilioni

- Uhuru atafanya mkutano wa kibiashara na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron katika ikulu ya Élysée

- Fedha hizo zinatarajiwa kugharamia ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit yenye umbali wa kilomita 190

- Kulingana na katiba, Rais anapaswa kumuachia naibu wake majukumu kwa muda ambao hatakuwa nchini

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuondoka nchini Jumatano, Septemba 30, 2020 kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya mkutano wa kibiashara.

Kikatiba, Naibu wake William Ruto anapaswa kushikilia nafasi ya urais hadi atakaporejea nchini baada ya kukamilisha shughuli zake.

Rais atafanya mkutano na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu mkopo wa KSh 180 bilioni ambao unatarajiwa kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit.

Barabara hiyo inasemekana ni ya umbali wa kilomita 190.

Hii inakuwa safari ya kwanza ya kimataifa kwa Rais Uhuru Kenyatta tangu kisa cha kwanza cha virusi vya corona kiliporipotiwa nchini Machi 13.

Hata hivyo, Rais na naibu wake hawajakuwa wakionekana pamoja kwa umma kama walivyokuwa hapo awali hasa wakati wa muhula wa kwanza walipoingia afisini.

Licha ya tofauti ambazo zimekithiri kati yao kwa miezi za hivi majuzi, Wakenya wamesubiri kuona iwapo Rais atampokeza naibu wake majukumu yake kabla ya kuondoka nchini.

Macho ya Wakenya sasa yameelekezwa kwa Ruto, wengi wangependa sana kuona utendakazi wake akiwa amekalia kiti cha Rais hata iwe kwa siku mbili.

---
MY TAKE: Hivi hali ya maambukizi ya Corona Ufaransa yakoje?
Du 190 kilometa inajegwa Kwa mkopo tena wakwenda kupigia magoti sio ile wanayoleta wenyewe!! Mtihani huu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Dah yaani hawa watu sijui wazungu waliwafanyaga nini! Sio wanaume kila kukicha wanaolewa na wazungu sio dada zao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Pamoja na wazungu na wachina kuwatembezea vichapo kila leo nchini kwao lakini bado hawakomi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu what do you expect na walishaambiwa "No whites no lights" [emoji23][emoji23][emoji23]

 
guys..arent you not aware that this road had already been started to be built..this road will be connected with nairobi expressway..by the time they will be done with it bechtell from USA will also begin constructing mombasa-nairobi expressway..when it comes to infrustructures in kenya president uhuru is not a force to recorn with...na msihau president uhuru has also directed that railway city to be constructed within 2-5 years since 40 investors have already being found..remember the no joke general badi stated that railway city will be constructed very soon..the old railway pension schemes houses have being marked for demolision and people were issued notice to vacate to pave way for the construction of the city..below are some progress of the road,,
View attachment 1584886
View attachment 1584887View attachment 1584888View attachment 1584889

Jamaa Ako sawa sana ikifika Kwa infrastructure,
Amejaribu sana
 
Hii taarifa mwenye aliweka kwa mtandao ka kosea, it is a PPP(public private partnership) basis. Treasury wont be burdenned to repay, so national budget wont be affected in any way, project itajilipa yenyewe kama express way., pole zangu kwako, unatakia Kenya ku fail, but come 2022-2030, mtalia lia humu eti Kenya imepika GDP ama kusema ni ya makaratasi ilhali facts ziko open.

kwa sasa mnatuzidi GDP hili hatukatai.

ila nayo tuko nayo maanara kuikagua ni GDP kweli au GDP lite[emoji3][emoji3][emoji3].

haiwezekani mnashindwa kulipa mishahara ya watu muhimu kama doctors,hii gdp haiko serious.
 
😀 huh... oliskia wapi
images - 2020-09-27T190716.201.jpeg
 
Shidako hauna akili, when Macron came to Kenya in 2019 what was his main aim of coming. The agreement for the PPP project was reached last year when Macron was in Kenya, Uhuru only went there to sign the agreement.
Kenya, France agree on deals worth Sh340bn » Capital News
Makubaliano yafanyike Kenya lakini kusaini ni Paris sikujua makunya ninmajinga kiasi hiki kama mmekubaliana mlishindwa nini kumsaini.hapohapo au ndio kama Trump.alivyotoa mfano wa uongozi mbovu Afrika akaitolea Kenya jinsi wanavyotumia pesa za umma ovyo kwenye mkutano wa mazingira akamchukua mpaka binti yake
 
State refutes claims Uhuru headed to France to sign Sh180bn loan deal
Waita says public private partnership project cannot be said to be a loan deal.
In Summary
• Chief of Staff in the Office of The President Nzioka Waita on Tuesday said such reports are 'misleading' and 'full of lies'.
• Waita was responding to a story by the Daily Nation which said Uhuru will leave the country on Wednesday to sign a Sh180 billion deal.
French President Emanuel Macron is greeted by President Uhuru Kenyatta at State House on March 13, 2019.
French President Emanuel Macron is greeted by President Uhuru Kenyatta at State House on March 13, 2019.
Image: REUTERS
The government has refuted claims that President Uhuru Kenyatta is headed to France to sign a loan deal.
Chief of Staff in the Office of The President Nzioka Waita on Tuesday said such reports are 'misleading' and 'full of lies'.
Waita was responding to a story by the Daily Nation which said Uhuru will leave the country on Wednesday for the Sh180 billion loan deal.


According to the Daily Nation, the money would be used for the dualling of the 190-kilometre Rironi-Nakuru-Mau Summit Road.
The article said Kenya’s signing of the tolling concession pact with a consortium of French firms under Rift Valley Connect led by Meridiam Infrastructure Africa Fund will unlock the funding of the road, which once complete will be the country’s first toll highway outside Nairobi.

But Waita hit back saying, "How does a Public-Private Partnership become a loan? Your story is an outright lie".
Waita said the Nakuru-Mau Summit Super Highway will be a toll road given to a concessionaire to finance, build and operate.
He said through the Toll Fund recently enacted by the National Assembly the government will guarantee the availability of traffic.
"The combined effect of expanding Waiyaki Way from James Gichuru - Rironi and the new toll road from Rironi - Mau Summit will completely transform the economies of counties along the route," he said.
He added, "Later the planned Mau Summit - Malaba expansion will complete the corridor to western Kenya".


The road once complete will be a key segment of the Northern Corridor which will significantly cut travel time for both people and goods, reducing the cost of doing business.
The Kenya National Highways Authority (KeNHA) last year awarded the construction tender to a French firm Meridiam International, with others in the consortium including Vinci Highways SAS and Vinci Concessions SA.
The project is expected to be undertaken on a PPP basis that will see the consortium raise finances for the road, design, construct, maintain and operate the road on pre-agreed standards and specifications.









 
Among the many things being said Kenyatta is in Europe to campaign for Aminas WTO candidature ..
 
Back
Top Bottom