Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

FB_IMG_1597849249456.jpg

πŸ˜€πŸ˜€
 
Piga tu kelele hapo wakati sisi tunasonga mbele.

Kwa hiyo Wanjohi atamuachia kiti Mhesh wa wananchi kwa kipindi chote akiwa ana blaze huko Paris?.. au ataongoza nchi kwa kutumia zoom na wasap akiwa huko Paris?
 
Hahahaha hivi kwanini miradi yote inayofilisi Taifa lenu ni ya Nairobi?

Miradi yote ipo central Kenya na yote ni ya kifisadi.

Kwanini usipolijua jambo huwezi nyamaza?
Hii barabara umesoma wapi ni ya Nairobi?
 
Bongolalas so obsessed with Kenya....

They are jealous when they see mega projects in Kenya.
Their biggest road project is an interchange that is about 200m long. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuna bongolala mwingine hadi leo anangoja sign post ya Nairobi Expressway ndio aamini inajengwa.
Columns ambazo zimeshajengwa anasema ni kifumba macho. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ha ha ha... projects zinazoendelea Kenya hata mimi zinanishtua ...Bongolalas wamebaki na ile ujinga ya kutoka 2005..mara kibera..and such shit...
tumewaacha
 
guys..arent you not aware that this road had already been started to be built..this road will be connected with nairobi expressway..by the time they will be done with it bechtell from USA will also begin constructing mombasa-nairobi expressway..when it comes to infrustructures in kenya president uhuru is not a force to recorn with...na msihau president uhuru has also directed that railway city to be constructed within 2-5 years since 40 investors have already being found..remember the no joke general badi stated that railway city will be constructed very soon..the old railway pension schemes houses have being marked for demolision and people were issued notice to vacate to pave way for the construction of the city..below are some progress of the road,,
1601402614125.png

1601402635026.png
1601402660018.png
1601402678909.png

View attachment 1584886
View attachment 1584887View attachment 1584888View attachment 1584889

Hapa nayo hujadanganya, when it comes to infrastructure there is no President that can come close to Uhuru. Maybe huko mbeleni.
 
They are jealous when they see mega projects in Kenya.
Their biggest road project is an interchange that is about 200m long. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Kuna bongolala mwingine hadi leo anangoja sign post ya Nairobi Expressway ndio aamini inajengwa.
Columns ambazo zimeshajengwa anasema ni kifumba macho. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe hujaiona maskini akinunua baiskeli? Anataka kujilinganisha hadi na mwenye gari.
 
Kwani Nakuru iko Nairobi ?
Is kericho in Nairobi?
This is a road that starts at the border between Nairobi and Kiambu County and ends in Kericho county. The second phase will be from Kericho to Malaba
It actually starts deep in Kiambu county......Nairobi border is at Uthiru which is like 20km south of Rironi where the proposed highway begins
 
- Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa KSh 180 bilioni

- Uhuru atafanya mkutano wa kibiashara na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron katika ikulu ya Γ‰lysΓ©e

- Fedha hizo zinatarajiwa kugharamia ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit yenye umbali wa kilomita 190

- Kulingana na katiba, Rais anapaswa kumuachia naibu wake majukumu kwa muda ambao hatakuwa nchini

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuondoka nchini Jumatano, Septemba 30, 2020 kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya mkutano wa kibiashara.

Kikatiba, Naibu wake William Ruto anapaswa kushikilia nafasi ya urais hadi atakaporejea nchini baada ya kukamilisha shughuli zake.

Rais atafanya mkutano na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu mkopo wa KSh 180 bilioni ambao unatarajiwa kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Rironi-Nakuru-Mau Summit.

Barabara hiyo inasemekana ni ya umbali wa kilomita 190.

Hii inakuwa safari ya kwanza ya kimataifa kwa Rais Uhuru Kenyatta tangu kisa cha kwanza cha virusi vya corona kiliporipotiwa nchini Machi 13.

Hata hivyo, Rais na naibu wake hawajakuwa wakionekana pamoja kwa umma kama walivyokuwa hapo awali hasa wakati wa muhula wa kwanza walipoingia afisini.

Licha ya tofauti ambazo zimekithiri kati yao kwa miezi za hivi majuzi, Wakenya wamesubiri kuona iwapo Rais atampokeza naibu wake majukumu yake kabla ya kuondoka nchini.

Macho ya Wakenya sasa yameelekezwa kwa Ruto, wengi wangependa sana kuona utendakazi wake akiwa amekalia kiti cha Rais hata iwe kwa siku mbili.

---
MY TAKE: Hivi hali ya maambukizi ya Corona Ufaransa yakoje?

Hii taarifa mwenye aliweka kwa mtandao ka kosea, it is a PPP(public private partnership) basis. Treasury wont be burdenned to repay, so national budget wont be affected in any way, project itajilipa yenyewe kama express way., pole zangu kwako, unatakia Kenya ku fail, but come 2022-2030, mtalia lia humu eti Kenya imepika GDP ama kusema ni ya makaratasi ilhali facts ziko open.
 
Hahahaha, anatafuta "Mdhungu", aka " Mungu wa wakunya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Dah yaani hawa watu sijui wazungu waliwafanyaga nini! Sio wanaume kila kukicha wanaolewa na wazungu sio dada zao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Pamoja na wazungu na wachina kuwatembezea vichapo kila leo nchini kwao lakini bado hawakomi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom