Rais Uhuru Kenyatta anapanga safari ya kwenda Ufaransa kuomba mkopo wa Ksh 180 Bilioni

Du 190 kilometa inajegwa Kwa mkopo tena wakwenda kupigia magoti sio ile wanayoleta wenyewe!! Mtihani huu
 
Mkuu what do you expect na walishaambiwa "No whites no lights" [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Mkuu what do you expect na walishaambiwa "No whites no lights" [emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahaha kuna mahali nilisoma kwamba wazungu walikuwa wanaandaa mazishi yake kabla ya kufa, na inawezekana alipendelea wazungu ndio wafanye hiyo kazi ili ionekane ni bora zaidi.
 
Jamaa Ako sawa sana ikifika Kwa infrastructure,
Amejaribu sana
 

kwa sasa mnatuzidi GDP hili hatukatai.

ila nayo tuko nayo maanara kuikagua ni GDP kweli au GDP lite[emoji3][emoji3][emoji3].

haiwezekani mnashindwa kulipa mishahara ya watu muhimu kama doctors,hii gdp haiko serious.
 
Makubaliano yafanyike Kenya lakini kusaini ni Paris sikujua makunya ninmajinga kiasi hiki kama mmekubaliana mlishindwa nini kumsaini.hapohapo au ndio kama Trump.alivyotoa mfano wa uongozi mbovu Afrika akaitolea Kenya jinsi wanavyotumia pesa za umma ovyo kwenye mkutano wa mazingira akamchukua mpaka binti yake
 







 
Among the many things being said Kenyatta is in Europe to campaign for Aminas WTO candidature ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…