Looks nice Kenya
Sidhani unafahamu unalolisema hapa, umekurupuka mkuuHapo shida siyo hiyo IEBC wapinzani wote akili zao zinafanana ni ndogo, hapo ni zaidi ya hiyo Tume na utaona hata kama hiyo Tume ikiondolewa watakuja na demands nyingine mpya na hilo Raisi
Uhuru Kenya analijua, lengo la Raila ni kama alivyokuwa fisadi Lowasa anataka kuwa sehemu ya Serikali yaani anataka kama vile mwaka 2007/08 aidha awe Raisi wa Kenya au ikishindikana kabisa basi waunde Serikali ya mseto hicho ndicho kiko nyuma yake kwa maana wanajua kwamba kwa hali ya kawaida hawawezi kumshinda Uhuru Kenya kwa kuwa Wakikuyu ndiyo kundi kubwa Kenya, hivyo ni kwa hila tu ndiyo wanweza kushinda!
Hata hiyo Katiba mpya wengi hawawelewi lkn lengo lilikuwa ni hilo hilo kuvunja nguvu ya Wakikuyu ili Raila aweze kuwa Raisi kwa maana kwa kura peke yake hawezi, na ndiyo maana unaona mambo yalivyo kwenda ndivyo sivyo Raila huyo huyo ambaye ndiye champion wa Katiba mpya na aliyeshiriki kuunda hiyo Tume inayoitwa huru leo hii haitaki, na sababu wala siyo ufanisi wa hiyo Tume la hasha, bali sababu ni kwamba imeshindwa kumuingiza madarakani hawo ndiyo wanasiasa wetu ...
Mbona unatokwa povu hivi? Kuna wakikuyu kadhaa hapa akina MK254 na hawana wasiwasi ikiwa Mkikuyu atakua Rais ama ang'olewe. Acha upumbavu, shughulika na nchi yako.Barbarosa, Kwani wakikuyu wako 51% mpk useme hawawezi shindwa? Ngoja uchaguzi wa mwaka kesho uone, Kalenjins r divided as they believe they were given a raw deal by Kikuyus n that's the main key
Hapo shida siyo hiyo IEBC wapinzani wote akili zao zinafanana ni ndogo, hapo ni zaidi ya hiyo Tume na utaona hata kama hiyo Tume ikiondolewa watakuja na demands nyingine mpya na hilo Raisi
Uhuru Kenya analijua, lengo la Raila ni kama alivyokuwa fisadi Lowasa anataka kuwa sehemu ya Serikali yaani anataka kama vile mwaka 2007/08 aidha awe Raisi wa Kenya au ikishindikana kabisa basi waunde Serikali ya mseto hicho ndicho kiko nyuma yake kwa maana wanajua kwamba kwa hali ya kawaida hawawezi kumshinda Uhuru Kenya kwa kuwa Wakikuyu ndiyo kundi kubwa Kenya, hivyo ni kwa hila tu ndiyo wanweza kushinda!
Hata hiyo Katiba mpya wengi hawawelewi lkn lengo lilikuwa ni hilo hilo kuvunja nguvu ya Wakikuyu ili Raila aweze kuwa Raisi kwa maana kwa kura peke yake hawezi, na ndiyo maana unaona mambo yalivyo kwenda ndivyo sivyo Raila huyo huyo ambaye ndiye champion wa Katiba mpya na aliyeshiriki kuunda hiyo Tume inayoitwa huru leo hii haitaki, na sababu wala siyo ufanisi wa hiyo Tume la hasha, bali sababu ni kwamba imeshindwa kumuingiza madarakani hawo ndiyo wanasiasa wetu ...
Hapo shida siyo hiyo IEBC wapinzani wote akili zao zinafanana ni ndogo, hapo ni zaidi ya hiyo Tume na utaona hata kama hiyo Tume ikiondolewa watakuja na demands nyingine mpya na hilo Raisi
Uhuru Kenya analijua, lengo la Raila ni kama alivyokuwa fisadi Lowasa anataka kuwa sehemu ya Serikali yaani anataka kama vile mwaka 2007/08 aidha awe Raisi wa Kenya au ikishindikana kabisa basi waunde Serikali ya mseto hicho ndicho kiko nyuma yake kwa maana wanajua kwamba kwa hali ya kawaida hawawezi kumshinda Uhuru Kenya kwa kuwa Wakikuyu ndiyo kundi kubwa Kenya, hivyo ni kwa hila tu ndiyo wanweza kushinda!
Hata hiyo Katiba mpya wengi hawawelewi lkn lengo lilikuwa ni hilo hilo kuvunja nguvu ya Wakikuyu ili Raila aweze kuwa Raisi kwa maana kwa kura peke yake hawezi, na ndiyo maana unaona mambo yalivyo kwenda ndivyo sivyo Raila huyo huyo ambaye ndiye champion wa Katiba mpya na aliyeshiriki kuunda hiyo Tume inayoitwa huru leo hii haitaki, na sababu wala siyo ufanisi wa hiyo Tume la hasha, bali sababu ni kwamba imeshindwa kumuingiza madarakani hawo ndiyo wanasiasa wetu ...
Hapo shida siyo hiyo IEBC wapinzani wote akili zao zinafanana ni ndogo, hapo ni zaidi ya hiyo Tume na utaona hata kama hiyo Tume ikiondolewa watakuja na demands nyingine mpya na hilo Raisi
Uhuru Kenya analijua, lengo la Raila ni kama alivyokuwa fisadi Lowasa anataka kuwa sehemu ya Serikali yaani anataka kama vile mwaka 2007/08 aidha awe Raisi wa Kenya au ikishindikana kabisa basi waunde Serikali ya mseto hicho ndicho kiko nyuma yake kwa maana wanajua kwamba kwa hali ya kawaida hawawezi kumshinda Uhuru Kenya kwa kuwa Wakikuyu ndiyo kundi kubwa Kenya, hivyo ni kwa hila tu ndiyo wanweza kushinda!
Hata hiyo Katiba mpya wengi hawawelewi lkn lengo lilikuwa ni hilo hilo kuvunja nguvu ya Wakikuyu ili Raila aweze kuwa Raisi kwa maana kwa kura peke yake hawezi, na ndiyo maana unaona mambo yalivyo kwenda ndivyo sivyo Raila huyo huyo ambaye ndiye champion wa Katiba mpya na aliyeshiriki kuunda hiyo Tume inayoitwa huru leo hii haitaki, na sababu wala siyo ufanisi wa hiyo Tume la hasha, bali sababu ni kwamba imeshindwa kumuingiza madarakani hawo ndiyo wanasiasa wetu ...
Hamna siku kabila moja linaweza kumchagua rais wa nchi Kenya. Lazima rais awe na ushawishi maeneo mengi ndio aweze kuibuka mshindi kwa mujibu wa katiba. Sasa hivi cha msingi ni amani, haijalishi nani atakua rais, bora aingie akiwa na sera za kuboresha nchi, rais Uhuru amesema mara kadhaa kwamba hawezi kuwa king'ang'anizi, akishindwa atakwenda kijijini kulima na hapo Kenya tuendelee.
.
Na hilo ndiyo lilikuwa lengo la uundwaji wa hii Katiba mpya, ilikuwa kuondoa au kupunguza nguvu ya Wakikuyu hasa linapokuja kwenye upigaji wa kura na ndiyo maana Raila &Co. waliipigania sana kwa nguvu zote walijua sasa hicho kifungu cha nchi nzima kingewadhibiti Wakikuyu hayo mengine yoote porojo tu!
Sasa ndiyo maana leo kuna shida hasa kwa upande wa Raila kwa maana Katiba aliyoitegemea kumuingitza madarakani haikufanikiwa sasa ameigeukia hiyo hiyo Katiba aliyotumia nguvu na muda mwingi kuipigia debe sasa haitaki na anataka kuibomoa au anataka ifanyiwe marekebisho, Tume aliyoshiriki kuiunda haitaki tena, matokeo ya uchaguzi kwa kuwa tu yalikwenda kinyume na alivyotaka yeye hayatambui, kwenda Bungeni kufwata taratibu ambazo yeye alizipigania kwenye hiyo Katiba mpya hataki anataka kuiondoa Tume kwa njia ya fujo na maandamano ...
Nimeipenda hiyo ya kurudi kijijini kulima baada ya kushindwa, porojo kama zile za Lowasa kwamba akishindwa (fisadi Lowasa) angerudi kwao Monduli kuchunga ng'ombe lkn mpaka leo hii bado yuko daa anauza sura!
Barbarosa, Kwani wakikuyu wako 51% mpk useme hawawezi shindwa? Ngoja uchaguzi wa mwaka kesho uone, Kalenjins r divided as they believe they were given a raw deal by Kikuyus n that's the main key
Njoo huku.. Sammuel999 kuna mkuu hapa anasema IEBC haina shida.!
Mkuu dawa ni kuvunja ukabila tu, angalia mfano maeneo yayozua hamasa hii ni migori, kisumu, kibera,wote ni wajaluo, kwahivyo kenya watawala ni wawili tu mjaluo na mkikuyu.Sasa hivi cha msingi ni amani na utulivu. Haswa kwa wanabiashara kama mimi binafsi, tunahitaji mazingira ya amani, haya mambo ya vurugu kisa watu wachache wagawane mamlaka yanaudhi kishenzi.
Kuna mambo yanaibuka ambayo hayapendezi kabisa, kuna huyu mbunge wa Gatundu anaitwa Kuria, kila akifungua kinywa kuongea chochote huwa ni kuweka nchi kwenye hali ya taharuki, halafu rais Uhuru hamthibiti na kumzuia anamwachia aropokwe. Pia naye Raila na kikundi cha wabunge wake wa karibu wanaropokwa ovyo na kuweka nchi katika hali isiyofaa.
Yaani ingelikua uwezo wangu leo, ningefanya maamuzi ya kuwa na rais atokaye nje ya hawa viongozi wa sasa. Rais mwenye uwezo wa kuunganisha Wakenya kutoka maeneo yote, hawa wa sasa pande zote mbili wanaonyesha dalili za vurugu tu. Kila mmoja anataka ashinde kwa kuwagawanya Wakenya kiunafiki.
lengo la Raila ni kama alivyokuwa fisadi Lowasa anataka kuwa sehemu ya Serikali yaani anataka kama vile mwaka 2007/08 aidha awe Raisi wa Kenya au ikishindikana kabisa basi waunde Serikali ya mseto hicho ndicho kiko nyuma yake kwa maana wanajua kwamba kwa hali ya kawaida hawawezi kumshinda Uhuru Kenya kwa kuwa Wakikuyu ndiyo kundi kubwa Kenya
Mpaka sasa walisha sema sio tume tuHapo shida siyo hiyo IEBC wapinzani wote akili zao zinafanana ni ndogo, hapo ni zaidi ya hiyo Tume na utaona hata kama hiyo Tume ikiondolewa watakuja na demands nyingine mpya na hilo Raisi
Uhuru Kenya analijua, lengo la Raila ni kama alivyokuwa fisadi Lowasa anataka kuwa sehemu ya Serikali yaani anataka kama vile mwaka 2007/08 aidha awe Raisi wa Kenya au ikishindikana kabisa basi waunde Serikali ya mseto hicho ndicho kiko nyuma yake kwa maana wanajua kwamba kwa hali ya kawaida hawawezi kumshinda Uhuru Kenya kwa kuwa Wakikuyu ndiyo kundi kubwa Kenya, hivyo ni kwa hila tu ndiyo wanweza kushinda!
Hata hiyo Katiba mpya wengi hawawelewi lkn lengo lilikuwa ni hilo hilo kuvunja nguvu ya Wakikuyu ili Raila aweze kuwa Raisi kwa maana kwa kura peke yake hawezi, na ndiyo maana unaona mambo yalivyo kwenda ndivyo sivyo Raila huyo huyo ambaye ndiye champion wa Katiba mpya na aliyeshiriki kuunda hiyo Tume inayoitwa huru leo hii haitaki, na sababu wala siyo ufanisi wa hiyo Tume la hasha, bali sababu ni kwamba imeshindwa kumuingiza madarakani hawo ndiyo wanasiasa wetu ...
Hauwezi ukavunja ukabila kwa kubagua baadhi ya makabila. Leo hii tukiendekeza dhana ya kuwakandamiza Wajaluo na Wakikuyu hapo tutakua tumeongeza petroli kwa moto.Mkuu dawa ni kuvunja ukabila tu, angalia mfano maeneo yayozua hamasa hii ni migori, kisumu, kibera,wote ni wajaluo, kwahivyo kenya watawala ni wawili tu mjaluo na mkikuyu.