Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Mimi nikajua amezuia na magari ya chakuala,kumbe watu peke yake,tena wale wasio madereva. Hata hivyo hayupo mtz mwenye ratiba ya kwenda kenya,kwahiyo hamna kilichobadirika.
 
Naweza taka Uhuru afunge ata mwaka hizi porojo nyingi mnaishi hapamkisema mkome eti mnatulisha,cash is king Volkswagen akikataa kukuzia gari Una other options Kama Daimler, Toyota, GM etc kwasababu pesa ndio kusema sio bidhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rais anajua kuliko wewe unayekaa kwa shemeji yako hujui kitu,ndio maana hajazuia malori ya bidhaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Oii
The spoiled kid at his best... don't he learn anything from the failed CoW? He is too naive and emmotional! Was he sober?
 
Duh kwa hiyo wapiga kura na wafuasi wa Chadema wapo Kenya?.. hivi akili zako CM?..Walompigia kura,,Mnyika ,Msigwa,,Mdee,na Sugu wapo Kenya?.. Watanzania mnajivika Ujuha kuingiza SIASA kwenye kila Jambo,,hoja hapo ni kutungwa mpaka wa Kenya CDM inaingiaje?
 
Jamaa hana washauri, mbona kama anajitekenya na kucheka mwenyewe, nini maana ya kufunga mpaka? Hayo malori ya cargo yanapita kwa Bluetooth? Speech yenyewe inakaa kujipendekeza ughaibuni hamna kiingine hapo, he has proven to be a royal scum bug and defendant of the white supremacy at any cost.

Tutadeal na korona kivyetu, nyie fuatieni mbinu za Miungu weupe.
 
Hahaha hii ndio ile tunaita kajitekenya mwenyewe halafu anacheka mwenyewe,

Fungieni hadi magari ya mizigo kupita halafu tuone nani ni nani.
 
Corona ipo sana sio eti ukijifungia ndani ndio inaisha mnatumia matako kufikiri nyie...ilikua ni simple tu ukiwa huna pita nenda sasa unafunga mpaka alafu huna akiba ya chakula na bado unawagonjwa wa corona at community level sijui ndio nn unafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madereva wenu lazima wapimwe upande wa Kenya kwa kutumia vifaa vyetu ili waruhusiwe kuingia. Juzi niliona kwenye video mkuu wa mkoa wa Tanzania uliopakana na Namanga akitoa amri kuwa madereva wa TZ hawatapimwa upande wa Kenya, lazima wapimwe upande wa TZ. Rais Uhuru leo amesema aidha madereva wenu wapimwe upande wa KE au hawataruhusiwa kuingia. Middle income imeanza kupiga pressups. Nyie Ldc itabidi mumetii. Vipimo vyenu hatuviamini sisi, vinasema eti nanasi na chungwa vina corona? Geza Ulole
 
Naona mkopo toka IMF ndio unakupeni kiburi kama sio implantation of terms and conditions, mikopo ya aina hiyo siku zote haijawahi kuwaacha watu salama.
 
Jamaa yangu kuna kipindi huwa unaongea pumba sana.
Ni ushabiki ndio unakutoa akili namna hii au nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio madhara ya kusoma uzi ulioandikwa kishabiki [emoji23]

Sasa mbona ni kama wewe ndio huelewi kizungu.
kiingereza anajua ila hana bundle la kuangalia video youtube[emoji1][emoji1][emoji1].
 
Hamna uwezo wa kulazimisha madereva wetu lazima wapimwe upande wa Kenya bila kuwepo wawakilishi toka upande wa Tanzania. Uhuru hana uwezo wa kuikatalia Tanzania katika hili.

Ninakuhakikishia yafuatayo lazima yatafanyika
1)Madereva wa Tanzania watapimwa Tanzania na kupewa "Certificate of clearance" ambayo wataipeleka katika mamlaka za Kenya.
2)Madereva wa Tanzania watapimwa upande wa Kenya lakini lazima kuwepo na wawakilishi toka Tanzania katika hao wakenya watakaokua wanawapima.

Chini ya hapo Tanzania itazuia kabisa "Cargo vehicles" kuja Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…