Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Swali tu. Ni siku 30 au ni 21?Ndio protokali za kiserikali, siku 30 kwanza ila haimaanishi kwamba ndio itakuwa mwisho. Wakitaka wanafanya extension ya siku zingine baada ya hizo 30.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali tu. Ni siku 30 au ni 21?Ndio protokali za kiserikali, siku 30 kwanza ila haimaanishi kwamba ndio itakuwa mwisho. Wakitaka wanafanya extension ya siku zingine baada ya hizo 30.
Naskia ubao huko unasoma 850, vip Watz wangapi katika hao?Swali tu. Ni siku 30 au ni 21?
rais anajua kuliko wewe unayekaa kwa shemeji yako hujui kitu,ndio maana hajazuia malori ya bidhaa[emoji23][emoji23][emoji23]Naweza taka Uhuru afunge ata mwaka hizi porojo nyingi mnaishi hapamkisema mkome eti mnatulisha,cash is king Volkswagen akikataa kukuzia gari Una other options Kama Daimler, Toyota,GM etc kwasababu pesa ndio kusema sio bidhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku 30 mkifungua tunawaongeza siku 60 mtakua mmemalizana na corona kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Cargo trucks are being allowed after the drivers are tested and found to be negative. Vehicles ferrying passengers ndio zimekuwa banned.Ni kizungu uelewi ama nini? Mipaka imefungwa completely,hakuna ata mizigo inakubaliswha kuingia.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwa hiyo wapiga kura na wafuasi wa Chadema wapo Kenya?.. hivi akili zako CM?..Walompigia kura,,Mnyika ,Msigwa,,Mdee,na Sugu wapo Kenya?.. Watanzania mnajivika Ujuha kuingiza SIASA kwenye kila Jambo,,hoja hapo ni kutungwa mpaka wa Kenya CDM inaingiaje?Ni haki yake hata hivyo, kila mtu ana haki ya kuamua nani aingie na yupi asiingie nyumbani kwake, binafsi sioni tatizo hapo, so far so good, ila waathirika wakubwa hapo ni chadema, au niseme wapiga kura wa chadema wao ndio waliojazana Kenya, lkn cha ajabu wamejaa hapa kushangilia, ...
Low IQ!
Madereva wenu lazima wapimwe upande wa Kenya kwa kutumia vifaa vyetu ili waruhusiwe kuingia. Juzi niliona kwenye video mkuu wa mkoa wa Tanzania uliopakana na Namanga akitoa amri kuwa madereva wa TZ hawatapimwa upande wa Kenya, lazima wapimwe upande wa TZ. Rais Uhuru leo amesema aidha madereva wenu wapimwe upande wa KE au hawataruhusiwa kuingia. Middle income imeanza kupiga pressups. Nyie Ldc itabidi mumetii. Vipimo vyenu hatuviamini sisi, vinasema eti nanasi na chungwa vina corona? Geza UloleKenya haina uwezo wa kuzuia "Cargo vehicle" kutoka Tanzania kuja Kenya, bila chakula cha Tanzania Kenya haiwezi kusurvive. Kenya siku ikifunga mipaka na Tanzania "total closure", ndani ya wiki moja kutatokea " Civil disobedience " na Serikali itapinfuliwa. Msikilize vizuri Uhuru Kenyatta anasema "Except for Cargo vehicles", Hahahaha, hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila " Cargo vehicles from Tanzania, there is no life ni Kenya".Cargo trucks are being allowed after the drivers are tested and found to be negative. Vehicles ferrying passengers ndio zimekuwa banned.
Haya ndio madhara ya kusoma uzi ulioandikwa kishabiki [emoji23]Ni kizungu uelewi ama nini? Mipaka imefungwa completely,hakuna ata mizigo inakubaliswha kuingia.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwa hiyo wapiga kura na wafuasi wa Chadema wapo Kenya?.. hivi akili zako CM?..Walompigia kura,,Mnyika ,Msigwa,,Mdee,na Sugu wapo Kenya?.. Watanzania mnajivika Ujuha kuingiza SIASA kwenye kila Jambo,,hoja hapo ni kutungwa mpaka wa Kenya CDM inaingiaje?
Naona mkopo toka IMF ndio unakupeni kiburi kama sio implantation of terms and conditions, mikopo ya aina hiyo siku zote haijawahi kuwaacha watu salama.Madereva wenu lazima wapimwe upande wa Kenya ili waruhusiwe kuingia. Juzi niliona kwenye video mkuu wa mkoa uliopakana na Namanga akitoa amri kuwa madereva wa TZ hawatapimwa upande wa Kenya, lazima wapimwe upande wa TZ. Rais Uhuru leo amesema aidha madereva wenu wapimwe upande wa KE au hawataruhusiwa kuingia. Middle income imeanza kupiga pressups. Nyie Ldc itabidi mumetii. Vipimo vyenu hatuviamini sisi, vinasema eti nanasi na chungwa vina corona? Geza Ulole
Jamaa yangu kuna kipindi huwa unaongea pumba sana.Ni haki yake hata hivyo, kila mtu ana haki ya kuamua nani aingie na yupi asiingie nyumbani kwake, binafsi sioni tatizo hapo, so far so good, ila waathirika wakubwa hapo ni chadema, au niseme wapiga kura wa chadema wao ndio waliojazana Kenya, lkn cha ajabu wamejaa hapa kushangilia, ...
Low IQ!
kiingereza anajua ila hana bundle la kuangalia video youtube[emoji1][emoji1][emoji1].Haya ndio madhara ya kusoma uzi ulioandikwa kishabiki [emoji23]
Sasa mbona ni kama wewe ndio huelewi kizungu.
Hamna uwezo wa kulazimisha madereva wetu lazima wapimwe upande wa Kenya bila kuwepo wawakilishi toka upande wa Tanzania. Uhuru hana uwezo wa kuikatalia Tanzania katika hili.Madereva wenu lazima wapimwe upande wa Kenya ili waruhusiwe kuingia. Juzi niliona kwenye video mkuu wa mkoa uliopakana na Namanga akitoa amri kuwa madereva wa TZ hawatapimwa upande wa Kenya, lazima wapimwe upande wa TZ. Rais Uhuru leo amesema aidha madereva wenu wapimwe upande wa KE au hawataruhusiwa kuingia. Middle income imeanza kupiga pressups. Nyie Ldc itabidi mumetii. Geza Ulole