Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Bila " Cargo vehicles from Tanzania, there is no life ni Kenya".

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuleta statistics ili uaminike. Kuongea tu maneno maneno bila evidence sio convincing. Vipi uchumi wa middle income utasimama eti kwa sababu TZ ambayo inaconsist of less than 10% of Kenya's food supply, border yake imefungwa?
 
Uhuru anajua zaidi yako, wewe umeshiba makande na avocado hujui zimetoka wapi unaropoka.
 
Hahaha, wacha tutaona. Nakuhakikishia Madereva wenu watapimwa hapa Kenya bila wawakilishi kutoka Tanzania.
 
kwani hawawezi wakasema wafunge milele ili tuwaone kama kweli wao ni vidume ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, wacha tutaona. Nakuhakikishia Madereva wenu watapimwa hapa Kenya bila wawakilishi kutoka Tanzania.
nakwambia hivii, tena atakayetengua kauli ni mkenya mwenzenu. Ndio utajua nani msemaji ukanda huu.
 
Video inasema 49 more cases,wewe unasema madereva 78 wa Tz
Hao madereva 78 ni watanzania ambao hawakukubaliwa kuingia Kenya baada ya kupatikana +ve. Hio mtaongeza kwa hesabu za Tz, 49 ni wale waliopatikana na virusi vya corona leo hii nchini Kenya.
 
T
That is why we must close the border with our careless neighbours from the South South
Careless neighbours, indeed.

By the way kimsingi mpaka haujafungwa, Rais anahitaji vipimo.sasa sijua mdereva wazima nao wakikataa kuingia ndani kwa kuogopa kuambukizwa [emoji23][emoji23]
 
Ninyi wakenya hata kideli utakuwa shida kupata ngoja JIWE atoe povu[
 
Umesahau nyie hata mlisusia kutangaza matokeo yalipogonga kesi mia nne? Sasa madereva wenu watasusia vipi kuingia Kenya ilhali nyie mnapukutika na corona kila kona?
careless neighbours,indeed.

by the way kimsingi mpaka haujafungwa,rais anahitaji vipimo.sasa sijua mdereva wazima nao wakikataa kuingia ndani kwa kuogopa kuambukizwa[emoji23][emoji23]
 
Umesahau nyie hata mlisusia kutangaza matokeo yalipogonga kesi mia nne? Sasa madereva wenu watasusia vipi kuingia Kenya ilhali nyie mnapukutika na corona kila kona?
tunapukutikia wapi jamiiforums na twiter ama??
sisi huku maisha ni kawaida,ndio maana tunashangaa nyinyi kiwewe mnatoa wapi??na hao madereva mnawapima na vipimo vipi hivyo tunashangaa,ndio maana kelele za madereva kutokuwa na imani na vipimo vya nyang'au unaona ni serious??

anyway sisi huku case ni 620 kama huna taarifa.
wagonjwa wamepungua hospitali pia,maana hakuna case nyingi mpya.
 
Ofcourse na wenu pia watapimwa!
 
Last time mlitangaza matokeo ya corona ni lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…