Hamna uwezo wa kulazimisha madereva wetu lazima wapimwe upande wa Kenya bila kuwepo wawakilishi toka upande wa Tanzania. Uhuru hana uwezo wa kuikatalia Tanzania katika hili.
Ninakuhakikishia yafuatayo lazima yatafanyika
1)Madereva wa Tanzania watapimwa Tanzania na kupewa "Certificate of clearance" ambayo wataipeleka katika mamlaka za Kenya.
2)Madereva wa Tanzania watapimwa upande wa Kenya lakini lazima kuwepo na wawakilishi toka Tanzania katika hao wakenya watakaokua wanawapima.
Chini ya hapo Tanzania itazuia kabisa "Cargo vehicles" kuja Kenya.
Sent using
Jamii Forums mobile app