Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Mtapima kutumia nini? Ama zile tests zenu za kupima mbuzi?
si ndio nayinyi mnatumia hizo,au mmegundua zenu[emoji16][emoji16][emoji2960].maana nanyinyi kwa kugundua vilivyopo hamjambo.
 
si ndio nayinyi mnatumia hizo,au mmegundua zenu[emoji16][emoji16][emoji2960].maana nanyinyi kwa kugundua vilivyopo hamjambo.
Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?
Haya sasa saidieni hawa ndugu zenyu wanaonyanyaswa huko Zambia. This time round lazima mjue Tanzania is just like Burundi. Hamna power nor respect to earn.

Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?
Haya sasa saidieni hawa ndugu zenyu wanaonyanyaswa huko Zambia. This time round lazima mjue Tanzania is just like Burundi. Hamna power nor respect to earn.

hamuwezi pima mapapai sababu akili hiyo haipo vichwani kwenu.

jipangeni hiki kinafuata kwenu,hakikisheni sijui uhuru atatumia muda gani kulitatua swal hilo.

huyu wa zambia hana siku nyingi analainika kabisa.
 
As always illiterate Tanzanians lazma wawataje mabeberu kwenye kila issue...so predictable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hamuwezi pima mapapai sababu akili hiyo haipo vichwani kwenu.

jipangeni hiki kinafuata kwenu,hakikisheni sijui uhuru atatumia muda gani kulitatua swal hilo.

huyu wa zambia hana siku nyingi analainika kabisa.
Uhuru has already closed the border. What you can now do is to cry, cry and cry.
 
Hahaha hii ndio ile tunaita kajitekenya mwenyewe halafu anacheka mwenyewe,

Fungieni hadi magari ya mizigo kupita halafu tuone nani ni nani.
Waambie mwenzao Zambia ame surrender

God save us
 
Watakufa na njaa kama Tanzania ikizuia

God save us
 
Jaribu kuleta statistics ili uaminike. Kuongea tu maneno maneno bila evidence sio convincing. Vipi uchumi wa middle income utasimama eti kwa sababu TZ ambayo inaconsist of less than 10% of Kenya's food supply, border yake imefungwa?
Wewe ni kiazi kweli kweli. 50% ya chakula Kenya kinatoka TZ

God save us
 
ninyi wakenya hata kideli utakuwa shida kupata ngoja JIWE atoe povu
Wamesahau jnsi walivyo pata shida kipindi kile alivyopiga stop ya chakula kuuzwa nje. Wakajiadai wanakimbilia Zambia TAZARA ikafungwa kioandw fulani

God save us
 
kwani hawawezi wakasema wafunge milele ili tuwaone kama kweli wao ni vidume ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Border point zote kati ya Kenya na Tz zimekuwa hotspots za COVID-19. Lengo la serikali ya Kenya ni kuwalinda wananchi wake dhidi ya maambukizi ya wazi wazi ya virusi vya Corona sio udume. Udume hata burukenge huwa anazaliwa nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…