Wewe vipi? Mkifunga tena ihali ndio umeshafungwa hivyo.Sisi Kama Tanzania tunalishaa Kenya,tukifunga mpaka watakufa. Wacha tuone Kama mnatulisha nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe vipi? Mkifunga tena ihali ndio umeshafungwa hivyo.Sisi Kama Tanzania tunalishaa Kenya,tukifunga mpaka watakufa. Wacha tuone Kama mnatulisha nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapima kutumia nini? Ama zile tests zenu za kupima mbuzi?Ofcourse na wenu pia watapimwa!
tareh 13 may.Last time mlitangaza matokeo ya corona ni lini?
si ndio nayinyi mnatumia hizo,au mmegundua zenu[emoji16][emoji16][emoji2960].maana nanyinyi kwa kugundua vilivyopo hamjambo.Mtapima kutumia nini? Ama zile tests zenu za kupima mbuzi?
Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?si ndio nayinyi mnatumia hizo,au mmegundua zenu[emoji16][emoji16][emoji2960].maana nanyinyi kwa kugundua vilivyopo hamjambo.
hamuwezi pima mapapai sababu akili hiyo haipo vichwani kwenu.Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?
Haya sasa saidieni hawa ndugu zenyu wanaonyanyaswa huko Zambia. This time round lazima mjue Tanzania is just like Burundi. Hamna power nor respect to earn.
As always illiterate Tanzanians lazma wawataje mabeberu kwenye kila issue...so predictableJamaa hana washauri, mbona kama anajitekenya na kucheka mwenyewe, nini maana ya kufunga mpaka? Hayo malori ya cargo yanapita kwa Bluetooth? Speech yenyewe inakaa kujipendekeza ughaibuni hamna kiingine hapo, he has proven to be a royal scum bug and defendant of the white supremacy at any cost.
Tutadeal na korona kivyetu, nyie fuatieni mbinu za Miungu weupe.
Uhuru has already closed the border. What you can now do is to cry, cry and cry.hamuwezi pima mapapai sababu akili hiyo haipo vichwani kwenu.
jipangeni hiki kinafuata kwenu,hakikisheni sijui uhuru atatumia muda gani kulitatua swal hilo.
huyu wa zambia hana siku nyingi analainika kabisa.
Waambie mwenzao Zambia ame surrenderHahaha hii ndio ile tunaita kajitekenya mwenyewe halafu anacheka mwenyewe,
Fungieni hadi magari ya mizigo kupita halafu tuone nani ni nani.
Hao walifunga jioni wakafungua asubuhi 😂Waambie mwenzao Zambia ame surrender
God save us
Watakufa na njaa kama Tanzania ikizuiaHamna uwezo wa kulazimisha madereva wetu lazima wapimwe upande wa Kenya bila kuwepo wawakilishi toka upande wa Tanzania. Uhuru hana uwezo wa kuikatalia Tanzania katika hili.
Ninakuhakikishia yafuatayo lazima yatafanyika
1)Madereva wa Tanzania watapimwa Tanzania na kupewa "Certificate of clearance" ambayo wataipeleka katika mamlaka za Kenya.
2)Madereva wa Tanzania watapimwa upande wa Kenya lakini lazima kuwepo na wawakilishi toka Tanzania katika hao wakenya watakaokua wanawapima.
Chini ya hapo Tanzania itazuia kabisa "Cargo vehicles" kuja Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kiazi kweli kweli. 50% ya chakula Kenya kinatoka TZJaribu kuleta statistics ili uaminike. Kuongea tu maneno maneno bila evidence sio convincing. Vipi uchumi wa middle income utasimama eti kwa sababu TZ ambayo inaconsist of less than 10% of Kenya's food supply, border yake imefungwa?
Last time mlitangaza matokeo ya corona ni lini?
Wamesahau jnsi walivyo pata shida kipindi kile alivyopiga stop ya chakula kuuzwa nje. Wakajiadai wanakimbilia Zambia TAZARA ikafungwa kioandw fulanininyi wakenya hata kideli utakuwa shida kupata ngoja JIWE atoe povu
Hivi ndio walivumbua ventilator ambayo ipo eesi ndio nayinyi mnatumia hizo,au mmegundua zenu[emoji16][emoji16][emoji2960].maana nanyinyi kwa kugundua vilivyopo hamjambo.
Border point zote kati ya Kenya na Tz zimekuwa hotspots za COVID-19. Lengo la serikali ya Kenya ni kuwalinda wananchi wake dhidi ya maambukizi ya wazi wazi ya virusi vya Corona sio udume. Udume hata burukenge huwa anazaliwa nao.kwani hawawezi wakasema wafunge milele ili tuwaone kama kweli wao ni vidume ?
Sent using Jamii Forums mobile app