Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Jana usiku boda ilifungulia. Hii tweet ya huyu kima ni ya lini?Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?
Haya sasa saidieni hawa ndugu zenyu wanaonyanyaswa huko Zambia. This time round lazima mjue Tanzania is just like Burundi. Hamna power nor respect to earn.
Inanipaje kiburi mimi MTANZANIA wa Kasamwa Geita, ,Mkuu huna akili aanza kuliamini hilo kuanzia sasa,,,Naona mkopo toka IMF ndio unakupeni kiburi kama sio implantation of terms and conditions, mikopo ya aina hiyo siku zote haijawahi kuwaacha watu salama.
achana naye muuza ubuyu huyu.Jana usiku boda ilifungulia. Hii tweet ya huyu kima ni ya lini?
God save us
Naweza taka Uhuru afunge ata mwaka hizi porojo nyingi mnaishi hapamkisema mkome eti mnatulisha,cash is king Volkswagen akikataa kukuzia gari Una other options Kama Daimler, Toyota, GM etc kwasababu pesa ndio kusema sio bidhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kiherehere kinatoka wapi na hauhusiki na hii kimeo[emoji28][emoji28][emoji28].Inanipaje kiburi mimi MTANZANIA wa Kasamwa Geita, ,Mkuu huna akili aanza kuliamini hilo kuanzia sasa,,,
Wagonjwa waliongezeka kwa kiasi gani?tareh 13 may.
corona haishi leo wala kesho so wafunge kwa mwaka mmojaBorder point zote kati ya Kenya na Tz zimekuwa hotspots za COVID-19. Lengo la serikali ya Kenya ni kuwalinda wananchi wake dhidi ya maambukizi ya wazi wazi ya virusi vya Corona sio udume. Udume hata burukenge huwa anazaliwa nao.
Waambie mwenzao Zambia ame surrender
God save us
kutoa 480 mpaka 620.na taarifa za jana maambukizi yapungua na wagonjwa qiarantine wanapungua,ingawa sio taarifa rasmi ya idadi,siku 3 baada ya hiyo ya watu 620.Wago
Wagonjwa waliongezeka kwa kiasi gani?
We ndio Jinga kabisa, unazima moto kwa jirani wakati kwako kunaungua? Nyie ndio zile sampuli yafaa kupokonywa hata uraia. Kenya ni mama yako? I love my country, I love my president and I will defend mama Tanzania till the casket drop.Inanipaje kiburi mimi MTANZANIA wa Kasamwa Geita, ,Mkuu huna akili aanza kuliamini hilo kuanzia sasa,,,
Yah ukitoa takwimu yako 100% ya chakula kenya inatoka TanzaniaWewe ni kiazi kweli kweli. 50% ya chakula Kenya kinatoka TZ
God save us
Sijaielewa hiyo hotuba maana haieleweki hata hivyo, mala tumefunga mpaka siku 30, hapo hapo, tutakuwa tunaufungua kupitisha mizigo. Si bora angekaa kimya tu.
Kama tatizo ni Corona tu tungefunga boda za majirani wetu wote, nchi tano. Tafakari hayo.corona haishi leo wala kesho so wafunge kwa mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Isipokuwa wawili tu kutoka Somalia, boda ya Mandera, hao wengine wote 76 wametoka TZ. Tena ni kwenye boda point zote zikiongozwa na Namanga, Loitoktok kisha Lunga Lunga.Si wote ni waTz....halafu ninyi ni chief supplier wa Uganda sahivi,mnajipa moyo tu huku.