Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?
Haya sasa saidieni hawa ndugu zenyu wanaonyanyaswa huko Zambia. This time round lazima mjue Tanzania is just like Burundi. Hamna power nor respect to earn.

Jana usiku boda ilifungulia. Hii tweet ya huyu kima ni ya lini?

God save us
 
Naona mkopo toka IMF ndio unakupeni kiburi kama sio implantation of terms and conditions, mikopo ya aina hiyo siku zote haijawahi kuwaacha watu salama.
Inanipaje kiburi mimi MTANZANIA wa Kasamwa Geita, ,Mkuu huna akili aanza kuliamini hilo kuanzia sasa,,,
 
Nasikia mmefunga bandari kisa mizigo ina corona. Mnasemaje kuhusu hilo
Screenshot_20200516-184748.jpg


God save us
 
Border point zote kati ya Kenya na Tz zimekuwa hotspots za COVID-19. Lengo la serikali ya Kenya ni kuwalinda wananchi wake dhidi ya maambukizi ya wazi wazi ya virusi vya Corona sio udume. Udume hata burukenge huwa anazaliwa nao.
corona haishi leo wala kesho so wafunge kwa mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe in the long run people in Tanzania will develop adaptive immunity due to continuous exposure to the virus.
 
Wago
Wagonjwa waliongezeka kwa kiasi gani?
kutoa 480 mpaka 620.na taarifa za jana maambukizi yapungua na wagonjwa qiarantine wanapungua,ingawa sio taarifa rasmi ya idadi,siku 3 baada ya hiyo ya watu 620.

kwahiyo ripoti rasmi mpya tegemea namba hazita boom.
 
Inanipaje kiburi mimi MTANZANIA wa Kasamwa Geita, ,Mkuu huna akili aanza kuliamini hilo kuanzia sasa,,,
We ndio Jinga kabisa, unazima moto kwa jirani wakati kwako kunaungua? Nyie ndio zile sampuli yafaa kupokonywa hata uraia. Kenya ni mama yako? I love my country, I love my president and I will defend mama Tanzania till the casket drop.
 
Hamna tofauti na USA, walizuia ndege kutoka sehemu mbalimbali wakaiacha UK, matokeo yake USA kashika number one akifuatiwa na mdogo wake UK kwa idadi ya victims. Hata hivyo haishangazi approach yenu kuwa sawia na USA, kuna namna sio bure.

No wonder my president was not interested with the meeting which had been summoned by The Northern Corridor as it was a waste of time, internet bytes in particular.
 
Si wote ni waTz....halafu ninyi ni chief supplier wa Uganda sahivi,mnajipa moyo tu huku.
Isipokuwa wawili tu kutoka Somalia, boda ya Mandera, hao wengine wote 76 wametoka TZ. Tena ni kwenye boda point zote zikiongozwa na Namanga, Loitoktok kisha Lunga Lunga.
 
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza rasmi leo kufunga Mpaka wa Tanzania pamoja na Somalia kuepuka usambazaji wa Virus vya Corona.Uhuru kasema atafunga kuanzia leo Usiku saa sita.

Amesema ataruhusu magari ya Mizigo peke yake na Madereva wote watapimwa kwanza atakayekutwa na Virus vya Corona hataruhusiwa kuingia Nchini Kenya

UHURU UMECHELEWA SANA WENZAKO WANAFUNGUA MIPAKA WEWE NDIO UNAFUNGA,UNAKUMBUKA SHUKA KUMESHAKUCHA


TUCHUKUWE TAHADHARI CORONA INAUA
 
Back
Top Bottom