Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Watanzania wanaumwa kweli kweli.They are good in talking but action ni zero, I can remember a time that Kenya blocked flour which were coming from Tanzania. Waliongea hapa venye watarevenge but up to date I'm still waiting for the revenge.
Mdomo refuuu tu na ubabe ambao haushirikishi ubongo, hata kwenye masuala ya janga ambalo limefanya nchi zote zishirikiane ukanda huu, isipokuwa Tanzania. Mwisho wa siku itakula kwao. Nakukumbuka wakati wa figisu hizo zao za kibiashara dhidi ya Kenya. Baada ya kupiga marufuku maziwa kutoka Kenya walikomeshwa na hadi sasa hivi unga wa ngano kutoka Tz haujakubaliwa tena Kenya. Zaidi ya hiyo, Uganda wakawapiku kwenye mauzo ya bidhaa zao Kenya. Hata mahindi tu ambayo Kenya imekuwa ikiagiza kutoka mwaka huo, 70% huwa yanatoka Uganda. Kenya iliagiza tani 69,000 kutoka UG, Tz tani 10,000 tu na mwaka huo Kenya ikazalisha tani 360,000, na bado. Kenyans import $31.2m maize from the region to meet demand - Kenya
 
Tutaona kama watapimia upande wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You know very little or nothing about this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last year we had surplus balance of trade against them. That shows that we sell more to them compared to what they sell to us.
 
corona ipo dunia nzima sasa kwa nini watunyanyapae ?
hata wao kenya bado hawajadhibiti.
corona ya kenya ilipitia airport yao haukutokea tz.
ndo nasema kama wanaona sisi ni covid centre basi wafunge mpaka mazima.
corona ni tatizo ambalo hata super power hawajapata utatuzi bado sas kwa nini kudharauliana ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Heri kufa kuliko kuisaliti Tanzania na serikali yake hata awe Rais wa aina gani am nothing to this amazing nation, it's awesome to be Tanzanian. Kenyans are just Hypocrite and this is is the only time that we should exercise our patriotism than ever. I stand firm with my assertion.
 
Sasa unaongea kama tumedhurika vile..,sisi hatuna hasara kwa chochote,...zaidi mtaumia ninyi wenyewe.
 
Tulizuia maziwa na Sigara zenu mkaachia haraka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ni wajinga kwasababu wameogopa kufunga magari ya mizigo wanajua watakosa kula,chakula wanategemea Tz,hawana jeuri ya kufunga kabisa
 
Kwani pro kabudi ana semaje kuhusu ili

Dark Side
 
Sisi hatutegemei Kenya, Tafadhali fahamu kwamba 80% ya mahindi yetu yanaenda kusini mwa Afrika, ila Uganda wanategemea kuuza kwenu by 90%. Actually hatuhitaji kuuza kwenu ila ninyi ndio mnakuja kutuomba tuwauzie mahindi, sasa hivi WFP ndio wanachukua mahindi kwetu, wananunua kwa bei nzuri zaidi yenu, tukiuza mahindi mengi kwenu tunapata hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…