Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Kama tatizo ni Corona tu tungefunga boda za majirani wetu wote, nchi tano. Tafakari hayo.
kwani mada si ni kenya kufunga mpaka wao kwa 30 days,na wewe uka saport kwamba wanalinda wananchi wao ?
ingekuwa kufunga mpaka corona ndo inaisha hapo ni sawa lakini wanafunga mpaka alafu watakuja fungua na corona haijaisha.
mi nachoona waache kufanya kama tanzania ndo imeasisi corona na kama ni tanzania basi wafunge mazima hatutaki ujirani nao.
dawa ya kiburi na zarau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni haki yake hata hivyo, kila mtu ana haki ya kuamua nani aingie na yupi asiingie nyumbani kwake, binafsi sioni tatizo hapo, so far so good, ila waathirika wakubwa hapo ni chadema, au niseme wapiga kura wa chadema wao ndio waliojazana Kenya, lkn cha ajabu wamejaa hapa kushangilia, ...

Low IQ!
Utakua unakifafa wewe sasa hao wafuasi was CHADEMA wawe kenya ni kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta full speech ya UK, ya leo, na usisahau kutafuta mkalimani pia.
Watanzania wanaumwa kweli kweli😂😂😂. They are good in talking but action ni zero, I can remember a time that Kenya blocked flour which were coming from Tanzania. Waliongea hapa venye watarevenge but up to date I'm still waiting for the revenge.
 
kwani mada si ni kenya kufunga mpaka wao kwa 30 days,na wewe uka saport kwamba wanalinda wananchi wao ?
ingekuwa kufunga mpaka corona ndo inaisha hapo ni sawa lakini wanafunga mpaka alafu watakuja fungua na corona haijaisha.
mi nachoona waache kufanya kama tanzania ndo imeasisi corona na kama ni tanzania basi wafunge mazima hatutaki ujirani nao.
dawa ya kiburi na zarau.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu kuwa serious kidogo!
Unachukuliaje unapoambiwa sitaki watu wako wana corona ila lete chakula chako! Dharau!

Kufunga mipaka ni ishu nzito kimataifa ndugu, tumeshaathirika kidiplomasia tayari kwa kauli ya Kenyatta kusema anafunga mpaka na Tanzania sababu wamekuwa covid centre!

Tafakari kiUtanzania achana na tafakari za kichama!

Halafu wenzenu tulikosa mikopo Loan Board tukatafuta scholarship nje, tulipata elimu buree! Huu ni mfano tu, lakini hata tunaonunua madini na kwenda kuuza nje ishakula kwetu!

Wafanyabiashara wanaokwenda China je? Dubai? Singapore? Passport yetu inapigwa blacklist kote huko! Twende tuu
 
Hahaha, wacha tutaona. Nakuhakikishia Madereva wenu watapimwa hapa Kenya bila wawakilishi kutoka Tanzania.
Uhuru anachifanya ni kuigilizia mtihani kwa wazungu ili aonekane mzungu Ila muda utamuumbua.He tries to show wazungu that Kenya complies to wazungus standard.He leaves like muzungu....that's too low!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnambeza si nchi yake na yy si ndio anajua madhara ya corona mwacheni afunge akiona haina maana atafungua tu maana huu sio mda wa kumbembeleza mtu yy ndio anajua hatma ya wananchi wake juu ya hii corona

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sahihi. Ukiangalia comments za wengine ni kujifanya ujuaji mwingi. Sisi tulichukua hatua tulizochukua na tukapinga kuingiliwa katika maamuzi yetu. Sasa wao wamechukua yao, bado tunaona shida. Hatuwezi kuwa responsible na maamuzi yao - tuwaache kama walivotuacha!
 
Hebu kuwa serious kidogo!
Unachukuliaje unapoambiwa sitaki watu wako wana corona ila lete chakula chako! Dharau!

Kufunga mipaka ni ishu nzito kimataifa ndugu, tumeshaathirika kidiplomasia tayari kwa kauli ya Kenyatta kusema anafunga mpaka na Tanzania sababu wamekuwa covid centre!

Tafakari kiUtanzania achana na tafakari za kichama!

Halafu wenzenu tulikosa mikopo Loan Board tukatafuta scholarship nje, tulipata elimu buree! Huu ni mfano tu, lakini hata tunaonunua madini na kwenda kuuza nje ishakula kwetu!

Wafanyabiashara wanaokwenda China je? Dubai? Singapore? Passport yetu inapigwa blacklist kote huko! Twende tuu
Dunia ishakuwa free world, wewe unawaza kupigwa blacklist. Naona unawaza kilayman tu hapa, halafu inferiority complex inakusumbua, mambo yako binafsi ya kuomba scholarship yanakuja vipi hapa. Acha ujinga, halafu Nchi gani imepigwa blacklist na maisha yamesimama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio protokali za kiserikali, siku 30 kwanza ila haimaanishi kwamba ndio itakuwa mwisho. Wakitaka baada ya hizo siku 30 wanafanya extension ya siku zingine. Kama ilivyokuwa kwa curfew, ambayo ilikuwa ya siku 21 na marufuku ya safari za ndege nje ya nchi ambayo ilikuwa ya siku 30 hapo awali.
Wafanye hivyo, na hiyo ifuatayo wazuie watu na cargo vehicles.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom