Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

corona ipo dunia nzima sasa kwa nini watunyanyapae ?
hata wao kenya bado hawajadhibiti.
corona ya kenya ilipitia airport yao haukutokea tz.
ndo nasema kama wanaona sisi ni covid centre basi wafunge mpaka mazima.
corona ni tatizo ambalo hata super power hawajapata utatuzi bado sas kwa nini kudharauliana ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200516_210804.jpg
    IMG_20200516_210804.jpg
    85.6 KB · Views: 1
Sisi hatutegemei Kenya, Tafadhali fahamu kwamba 80% ya mahindi yetu yanaenda kusini mwa Afrika, ila Uganda wanategemea kuuza kwenu by 90%. Actually hatuhitaji kuuza kwenu ila ninyi ndio mnakuja kutuomba tuwauzie mahindi, sasa hivi WFP ndio wanachukua mahindi kwetu, wananunua kwa bei nzuri zaidi yenu, tukiuza mahindi mengi kwenu tunapata hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
This time round lazima mjue nani ni kusema EA.
 
Bado nauliza mara nyingi, hivi kumbe hii mipaka ya majirani bado iko wazi? Tuliambiwa mara nyingi humu kwamba nchi zote zimefunga mipaka isipokuwa Tanzania. Anyways, mipaka ya Kenya/Tanzania kibiashara inanufaisha zaidi Kenya kuliko Tanzania. Namaanisha kwamba kibiashara ingawa Tanzania itaathirika, lakini Kenya itaathirika zaidi. Ni maamuzi magumu haya, na Kenya ina haki ya kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwao. Naishauri serikali yetu ibane kabisa njia zote za panya ili Wakenya nao wabaki kwao hadi watakapotaka kufungua mipaka. Maana isije ikawa mipaka rasmi imefungwa, lakini Wakenya wanaingia Tanzania kwa njia za panya. Iwe ni kufunga kweli na sio maigizo.
 
Last year we had surplus balance of trade against them. That shows that we sell more to them compared to what they sell to us.
That's why we call you stupid, four years consecutively prior to last year, we were dominating the business, and this year we are going back to our position.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ni wajinga kwasababu wameogopa kufunga magari ya mizigo wanajua watakosa kula,chakula wanategemea Tz,hawana jeuri ya kufunga kabisa
kama wao ni vidume wafunge mpaka mazima kama watamudu kukaa njaa.
tz inalisha takataka zote zinazotuzunguka rwanda, uganda,kenya,malawi,zambia,burundi,congo mpaka sudan wote hawa wanalishwa na ardhi ya tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's why we call you stupid, four years consecutively prior to last year, we were dominating the business, and this year we are going back to our position.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shidako hujui kusoma. I was latest trade of balance between Kenya and Tanzania. Siku mtaacha kuexport corona ukuje Kenya nilipeleka shule.
 
Wewe ndio hakuna unachojua.
Copy and paste strategies will cost dearly you unless you devise appropriate approach.How many deaths not announced as a result of hunger in Kenya due to fake "lockdown"? You are allowed to spread the viruses during the day and take them to your family during the night (the so called curfew).Stay safe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Copy and paste strategies will cost dearly you unless you devise appropriate approach.How many deaths not announced as a result of hunger in Kenya due to fake "lockdown"? You are allowed to spread the viruses during the day and take them to your family during the night (the so called curfew).Stay safe!

Sent using Jamii Forums mobile app
Curfew are meant to prevent people from attending bars and restaurants which may increase infection rate. Kama hujui uliza tafadhali, sio kuropokwa na maneno kama wale omba omba wenyu.
 
That's why we call you stupid, four years consecutively prior to last year, we were dominating the business, and this year we are going back to our position.

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't understand you concept of domination hahaa,...maybe you can do us a favour and expound more .
as far as I know the average Tanzanian farmer is always at the bottom of the food chain ,global brands such as proctar and Allan , Weetabix east Africa which are located in Kenya import celears from Tanzania Uganda e.t.c Process them ,then export them back to Tanzania as Weetabix cornflakes etc
 
kutoa 480 mpaka 620.na taarifa za jana maambukizi yapungua na wagonjwa qiarantine wanapungua,ingawa sio taarifa rasmi ya idadi,siku 3 baada ya hiyo ya watu 620.

kwahiyo ripoti rasmi mpya tegemea namba hazita boom.
Namba zenyewe natumai hazipikwi
 
hawa masamjo sana.sisi hawatutaki lakini misosi yetu wanaitaka ?
sasa waambieni hata misosi ya tz pia ina corona,mbuzi,matunda na kila kitu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Infected Kenyans are in isolation centers. Ama unadhani Kenya ni kama hi uchawi land that is still haunted by the spirits of Kinjeketile Ngwale?
Ha ha kamawana has ordered Madagascar's medicine in secret.You are brainwashed that Africa can not produce solution to world problems.Yup,just continue to practice your fake lockdown to please wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa masamjo sana.sisi hawatutaki lakini misosi yetu wanaitaka ?sasa waambieni hata misosi ya tz pia ina corona,mbuzi,matunda na kila kitu.
Mnatia huruma na hizi akili zenu finyu. Kwa taarifa yako wafugaji wenu tayari walipigwa marufuku kuingia kwenye soko ambazo huwa wanazitegemea ili wapate bei nzuri ya ng'ombe na mbuzi wao. Tena mafuruku yenyewe ilitolewa na gavana tu, wa Kajiado gatuzi linalopakana na Longido, sio serikali kuu ya rais U.K. Tanzanian livestock barred from Kajiado markets Leo hii wafugaji kutoka Kajiado, Narok na sehemu zingine nchini Kenya hawana 'competition'. Wamejaza pengo lililoachwa na wenzao, maisha ya wateja wao yanaendelea kama kawa na imekuwa bomba zaidi kwao kwasababu wanapata hela za ziada. Bado hamjajifunza, mnatafuta mchawi kwa fujo wakati ipo wazi kwamba tatizo ni serikali yenu na ilivolala darasani kwenye suala la kuzuia maambukizi ya COVID-19.
 
Back
Top Bottom