Rais Uhuru Kenyatta ni mlevi au?

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Huyu Rais wa Kenya sina imani nae kwa kweli.

Macho yake mekundu na baadhi ya speech kadhaa namuona kama mtu flani ivi mlevi.

Kuna kipindi alikuwa anasalimiana na Raila Odinga nikahisi huyu jamaa alikuwa amekunywa kidogo maana alikuwa anaongea kwa kuvuta mno na kuyumba.

Ni kweli wakuu au ni mtizamo mbaya?
 
Uhuru ni Rais bora kwa sasa Africa kuliko marais wengi uchwara ......

Mambo ya kutumia kilevu hayo ni mambo binafsi kwani hata kama anatumia naona kinamsaidia maana kimemfanya awe kiongozi bora na wa kuigwa na viongozi karibu wote wa Africa ....

Maana atakuwa anatumia kwa taifa sio hasara.....
 
Ni kweli huyu ndo Rais bora Duniani, ndio maana juzi katuwekea alicho-sign Zuma kwenye daftari la wageni Ikulu.
 
Amefanya mambo gani huko Kenya mkuu embu tupe habari tuanze kumfatilia huyu Mh Rais
 
Hata akilala bar la msingi awape maendeleo watu wake sio anaeshinda ibadani alafu mtaani njaa kali na ajira hakuna,namkubali sana dogo harakati pamoja na usela wake.
Nenda Kenya basi umfate huyo Kenyatta wako Hapa TZ unapoteza mda Tu.
 
Amefanya mambo gani huko Kenya mkuu embu tupe habari tuanze kumfatilia huyu Mh Rais
Ndiye rais wa kwanza Afrika kutia saini ya mswada wa kupunguza riba huku akiwa anamiliki bank kutoka 24% mpaka 12%-14 %

Ndiye rais wa kwanza Africa ambaye sijawai kumsikia akiwakejeri wapinzani wake

Ndiye rais wa kwanza Africa ambaye sijawai kumsikia akiwakejeri majirani zake...

Ujenzi wa reli ya kihistoria kutoka Mombasa kwenda Western Kenya ....

Ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Mombasa litaenda mpaka south sudani...

Rais wa kwanza Africa aliyekubali kutengeneza tume huru akiwa madarakani bila kupepesa macho....

Rais pekee anayejichanganya na watu wa kila wawe masikini wawe matajiri

Kikubwa zaidi office ya rais nchini Kenya imetangazwa ndio ofisi pekee isiyokuwa na kiwango cha Rushwa iko chini ya 5% hasa Rushwa ya Ajira .

Ndiye pia rais pekee wa Africa ambaye safari za nje alizozifanya ndani ya mwaka huu pekee zitaongeza pato la taifa kwa 27% kwa mwaka mmoja yaani maana yake hakusafiri kwenda kushangaa au kubembea Bali ni kwa faida ya nchi yake !!

Na mengine mengi tu kiukweli nampenda sana kwa Sera zake akiwa ni msomi wa uchumi naona anaitendea haki hii taharuma yetu
 
Nimefurahishwa nami pia kwa matendo yake mema.
 
Zuma hata elimu yake iko na utata.....sijui alikomea darasa la ngapi...
Mbona kaka mda mrefu madarakani huyu kwani katiba yao inasemaje kuhusu mihula ya marais? kwa sababu najua toka atoke thabo mbeki huyu ndio anaongoza mpaka leo.
By the way vipi uogozi wake? ni machapakazi au mwenzetu ni mle mle tuu? nishawahi kusikia kashfa zake za ngono na ukimwi ila sijui kama ni kweli
 
Naona unaongelea nadharia zaidi. Anyway aliunda tume huru ya nini?
 
technically, upo dunia ipi labda utueleze maana ya neno kejeli. Uache upuuzi mzee, sio Uhuru huyu unayemuongelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…