Rais Uhuru Kenyatta: Nisameheni, tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha na tusahau yaliyopita

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,480
Reaction score
6,162
Rais Uhuru amewaomba msamaha wananchi wake kwa makosa yake. Kwa kweli amenigusa sana moyoni. Huo ni unyenyekevu wa nguvu ya Mungu.
Na bila shaka,under him a lot will be achieved. God bless you Mr president.
Kwa taarifa zaidi soma gazeti la Mwananchi


Nairobi, Kenya. Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta ameomba msamaha wananchi
wake wakati akilihutubia bunge la nchi
hiyo jana.
‘’Forgive me.”hayo ni maneno ambayo
kiongozi huyo alianza nayo wakati akitoa
hotuba yake bungeni ikiwa ni kawaida
kwake kulihutubia bunge mara moja kwa
mwaka.
Alisema ikiwa kuna jambo baya ambalo
alilifanya likawaumiza wananchi wake,
kwa njia yoyote ile anaomba msamaha
kwa sababu atakuwa amewa kwaza.
‘’Nisameheni tuungane, tushirikiane
kurekebisha majeraha tusahau yaliyiopita
‘’amesema Rais Kenyatta
Kiongozi huyo alisema hayo maneno
akiwa bungeni ambapo alitumia saa moja
na dakika 22 huku akiacha kujibu baadhi
ya maswali kuhusu kubadilisha kipengele
cha katiba kitakachowaruhusu yeye na
upinzani kushirikiana kwenye utawala.
“Wakati tulipokutana mimi na yeye
(Odinga) mapema mwaka jana
tulikubaliana kufanya kazi pamoja ili
kuijenga nchi yetu hii. Tunaimani kabisa
kwamba tutatumia muungano wetu
kutatua kero za Wakenya.
 
Na wewe unasubiri nini kuomba msamaha. Kwani hakuna watu uliowakosea? Omba msamaha hapa jamii forum ili kufuata nyayo za Kenyatta. Unamshaur fulan ndo aombe msamaha kitu ambacho hata wewe kinakuhusu ila hajakifanya . Haya ni maajabu kabisa.
 
JPM aombe msamaha kwa mabepari, wasaliti na wezi wa madini? hata yesu mwokozi hakuomba msamaha kwa setani..muache unafki
Hakuomba msamaha ili kilichomkuta? kifoooo...ole wake asingekuwa mungu akafufuka jumapili...ukristo na pasaka ndo ingekuwa bye bye
 
Rais Uhuru amemwomba msamaha mungu na watu aliowadhulumu vile Zakayo aliyekuwa tax collector alivyo fanya. Inayobaki sasa ni kuwalipa alio wadhulumu mara nne kama zakayo
Umevurugwa jombaa ila aliyoyafanya rais Uhuru Kenyatta jana yamekunyamazisha hadi umekosa la kusema. Yaani leo kafiri unaongea kuhusu bibilia? [emoji38] Sijui kwanini leo hujamtusi mamake Uhuru. Bure kabisa!
 
Reactions: BAK
Umevurugwa jombaa ila aliyoyafanya rais Uhuru Kenyatta jana yamekunyamazisha hadi umekosa cha kusema. Yaani leo kafiri unaongea kuhusu bibilia? [emoji38] Sijui kwanini leo hujamtusi mamake Uhuru. Bure kabisa!
Nitaendelea Kumtusi Mlevi Uhuru na mama yake. Hata yesu alimtusi kiongozi wa siku hizo- King herod akamuita Mbwa wa msitu -Fox wala hakumwomba msamaha 😀
 
ogopa sana mtu mwenye hadhi kubwa kuomba msamaha kwa mtu anayemtawala!!(wana saikolojia wananielewa hapa)
kuweni makini na mtu wa namna hiyo!!
 
Nitaendelea Kumtusi Mlevi Uhuru na mama yake. Hata yesu alimtusi kiongozi wa siku hizo- King herod akamuita Mbwa wa msitu -Fox wala hakumwomba msamaha 😀
Unajifananisha na yesu? Wazee wa ndemi na mathathi walisema kwamba dua la kuku kamwe halimfikii mwewe. Matusi yako pia ni hivo hivo, yanaishia tu hapa hapa kwa masikio ya vifaranga wenzako. [emoji38][emoji38][emoji38] Nice job, cheers!
 
Reactions: BAK
ogopa sana mtu mwenye hadhi kubwa kuomba msamaha kwa mtu anayemtawala!!(wana saikolojia wananielewa hapa)
kuweni makini na mtu wa namna hiyo!!
Labda saikolojia uchwara. Kiongozi kawaida lazima aongoze kwa vitendo.
 
Unajifananisha na yesu? Wazee wa ndemi na mathathi walisema kwamba dua la kuku kamwe halimfikii mwewe. Matusi yako pia ni hivo hivo, yanaishia tu hapa hapa kwa masikio ya vifaranga wenzako. [emoji38][emoji38][emoji38] Nice job, cheers!
Mimi si yesu ila ukristo unatuamuru tufuate maadili yake 😀
 
Katika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?
 
Unataka atukanwe rais wetu uridhike,bullshit!
 
Ok, safi sana! Tatizo tz ya utawala huu haijifunzi kutoka kenya, bali ruanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…