pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,480
- 6,162
Rais Uhuru amewaomba msamaha wananchi wake kwa makosa yake. Kwa kweli amenigusa sana moyoni. Huo ni unyenyekevu wa nguvu ya Mungu.
Na bila shaka,under him a lot will be achieved. God bless you Mr president.
Kwa taarifa zaidi soma gazeti la Mwananchi
Nairobi, Kenya. Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta ameomba msamaha wananchi
wake wakati akilihutubia bunge la nchi
hiyo jana.
‘’Forgive me.”hayo ni maneno ambayo
kiongozi huyo alianza nayo wakati akitoa
hotuba yake bungeni ikiwa ni kawaida
kwake kulihutubia bunge mara moja kwa
mwaka.
Alisema ikiwa kuna jambo baya ambalo
alilifanya likawaumiza wananchi wake,
kwa njia yoyote ile anaomba msamaha
kwa sababu atakuwa amewa kwaza.
‘’Nisameheni tuungane, tushirikiane
kurekebisha majeraha tusahau yaliyiopita
‘’amesema Rais Kenyatta
Kiongozi huyo alisema hayo maneno
akiwa bungeni ambapo alitumia saa moja
na dakika 22 huku akiacha kujibu baadhi
ya maswali kuhusu kubadilisha kipengele
cha katiba kitakachowaruhusu yeye na
upinzani kushirikiana kwenye utawala.
“Wakati tulipokutana mimi na yeye
(Odinga) mapema mwaka jana
tulikubaliana kufanya kazi pamoja ili
kuijenga nchi yetu hii. Tunaimani kabisa
kwamba tutatumia muungano wetu
kutatua kero za Wakenya.
Na bila shaka,under him a lot will be achieved. God bless you Mr president.
Kwa taarifa zaidi soma gazeti la Mwananchi
Nairobi, Kenya. Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta ameomba msamaha wananchi
wake wakati akilihutubia bunge la nchi
hiyo jana.
‘’Forgive me.”hayo ni maneno ambayo
kiongozi huyo alianza nayo wakati akitoa
hotuba yake bungeni ikiwa ni kawaida
kwake kulihutubia bunge mara moja kwa
mwaka.
Alisema ikiwa kuna jambo baya ambalo
alilifanya likawaumiza wananchi wake,
kwa njia yoyote ile anaomba msamaha
kwa sababu atakuwa amewa kwaza.
‘’Nisameheni tuungane, tushirikiane
kurekebisha majeraha tusahau yaliyiopita
‘’amesema Rais Kenyatta
Kiongozi huyo alisema hayo maneno
akiwa bungeni ambapo alitumia saa moja
na dakika 22 huku akiacha kujibu baadhi
ya maswali kuhusu kubadilisha kipengele
cha katiba kitakachowaruhusu yeye na
upinzani kushirikiana kwenye utawala.
“Wakati tulipokutana mimi na yeye
(Odinga) mapema mwaka jana
tulikubaliana kufanya kazi pamoja ili
kuijenga nchi yetu hii. Tunaimani kabisa
kwamba tutatumia muungano wetu
kutatua kero za Wakenya.