pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hakunikosea mimi. Aliomba msamaha kwa niaba yangu. 😀 Nilikosea wengi sana wakati wa kampeni. Aisee yaani unaruka ruka kama maharage yanayochemka kisa mtu kaomba msamaha?kwa Uhuru kakuomba msamaha wewe????
huna akili wewe kaa hivyo hivyo..!!
Tunapata somo kua hapa duniani Kuna viongozi wenye utu, busara na walio staarabika na kua pia wapo viongozi washenzi wasio na utu wala ustaarabu ...Katika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?
Basi itakuwa wewe unafata maagizo ya Jehovah mwingine. Labda yule Jehovah Wanyonyi wa hapa hapa Kabras. 🙂Mimi si yesu ila ukristo unatuamuru tufuate maadili yake 😀
Kama bado unafuata madhehebu ya uongo kama ya Dr. Owuor na Rasta zake tafadhali JF haitaki pastor Kanyari huku..Tenda wema nenda zakoBasi itakuwa wewe unafata maagizo ya Jehovah mwingine. Labda yule Jehovah Wanyonyi wa hapa hapa Kabras. 🙂
Unamuuliza nani sasa. Usiwe kama mjingaKatika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?
Nani alikuambia mimi ni mkristo? Nyambaff!Kama bado unafuata madhehebu ya uongo kama ya Dr. Owuor na Rasta zake tafadhali JF haitaki pastor Kanyari huku..Tenda wema nenda zako
Go worship Tingod Uhuruto 😀Nani alikuambia mimi ni mkristo? Nyambaff!
[emoji38][emoji38][emoji38] Be clear, Uhuru or Ruto? When you say tingod it means one, uno, naboo. Eroo, yaani MOJA. Capisce?Go worship Tingod Uhuruto 😀
umepungukiwa akili wewe,Kwa hiyo kuomba radhi ilihali tayari kuna wakenya walikufa kwenye huo uchaguzi ndio unamuona kuwa ni bonge la kiongozi?
Akili za baadhi yenu ni upupu mtupu, MTU aweza omba radhi kinafiki na mkashangilia.
mnafurahisha sana,
Hiyo radhi unaona ni bonge la jambo yaaani.
We ndiyo zwazwa akili zenu za kishabiki hovyohovyo tu.umepungukiwa akili wewe,
unaupeo mdogo wa kufikiria,
uliona wapi mtu kaomba radhi pasioo kukosea?
kama kagundua kua alikosea ulitaka awatukane au awagawe wale ambao hawakumpigia kura?
huyo sio raisi wa chama ni raisi wa wakenya wote!
acha uzwazwa.
Sina wakati wako, madhehebu ya miungu mingi siyajui, uhuru, ruto, moses kuria nkt sijui kuwaabudu labda uniambie wewe..Kanisa ama mskiti ni wapi? Lazma wafuasi waende wakiwa ndethe?[emoji38][emoji38][emoji38] Be clear Uhuru or Ruto? When you say tingod it means one, uno, naboo. Eroo, yaani MOJA. Capisce?
Hivi Bepari,Wasaliti,wezi wa madini ni Akina nani?JPM aombe msamaha kwa mabepari, wasaliti na wezi wa madini? hata yesu mwokozi hakuomba msamaha kwa setani..muache unafki
Mimi huwa nahudhuria kanisa la yule Yohana ambaye huwa hajaribiwi. Hizo bla bla zingine sizijui. Hapa kazi tu ndio kauli yetu kuu. Ukileta ubishi tunakuben.Sina wakati wako, madhehebu ya miungu mingi siyajui, uhuru, ruto, moses kuria nkt sijui kuwaabudu labda uniambie wewe..Kanisa ama mskiti ni wapi? Lazma wafuasi waende wakiwa ndethe?
We ndiyo zwazwa [/b]akili zenu za kishabiki hovyohovyo tu.
Sitaki kubishana na wewe mkuu.
😀Mimi huwa nahudhuria kanisa la yule Yohana ambaye huwa hajaribiwi. Hizo bla bla zingine sizijui. Hapa kazi tu ndio kauli yetu kuu. Ukileta ubishi tunakuben.
Kuna mahali pameandikwa rais atukanwe? Mkuu this is not chit chat mkuu kama unaona mada imekuzi IQ rudi kule chit chat!!Unataka atukanwe rais wetu uridhike,bullshit!
Ntakujibu baadae ngoja kwanza...jibu maswali nliyokuuliza acha kutapa tapa vinginevyo tuliza mshono