Rais Uhuru Kenyatta: Nisameheni, tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha na tusahau yaliyopita

Rais Uhuru Kenyatta: Nisameheni, tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha na tusahau yaliyopita

kwa Uhuru kakuomba msamaha wewe????
huna akili wewe kaa hivyo hivyo..!!
Hakunikosea mimi. Aliomba msamaha kwa niaba yangu. 😀 Nilikosea wengi sana wakati wa kampeni. Aisee yaani unaruka ruka kama maharage yanayochemka kisa mtu kaomba msamaha?
 
Katika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?
Tunapata somo kua hapa duniani Kuna viongozi wenye utu, busara na walio staarabika na kua pia wapo viongozi washenzi wasio na utu wala ustaarabu ...

Pia tunapata somo kua ''maskini akipata matako hulia mbwata"

Lakini pia tunapata somo kua ushamba na ulimbukeni wa uongozi ni mzigo kwa Taifa la watu walio staarabika ...

Mfano ni yule Raisi aliefikia kujiona yeye ni kiongozi wa Malaika huko mbinguni muda si mrefu atawaambia yeye ni Mungu ...

Mfano mwingine ni yule mkuu wa wakuu wa mikoa aliefikia kujiona kua yeye ni nabii alie tumwa na Mungu ...

Ambae yupo tayari kuchapa watu viboko kwa kuandika mabango yaliyo ashiria hisia zilizo ndani ya nafsi zao ...
 
Basi itakuwa wewe unafata maagizo ya Jehovah mwingine. Labda yule Jehovah Wanyonyi wa hapa hapa Kabras. 🙂
Kama bado unafuata madhehebu ya uongo kama ya Dr. Owuor na Rasta zake tafadhali JF haitaki pastor Kanyari huku..Tenda wema nenda zako
 
Katika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?
Unamuuliza nani sasa. Usiwe kama mjinga
 
Kwa hiyo kuomba radhi ilihali tayari kuna wakenya walikufa kwenye huo uchaguzi ndio unamuona kuwa ni bonge la kiongozi?

Akili za baadhi yenu ni upupu mtupu, MTU aweza omba radhi kinafiki na mkashangilia.
mnafurahisha sana,
Hiyo radhi unaona ni bonge la jambo yaaani.
 
Uhuru Kenyatta is my hero, a role model, hakuna kama Uhuru Kenyatta katika east, central na southern africa! Wanaodhani nchi wanazoziongoza wamezinunua should borrow a leaf from Uhuru Kenyatta's democracy thesis! Angalia sasa Kenya imetulia, watu wanapiga kazi bila hofu ya watu wasiojulikana, Kenya is on the rise to even greater economic heights, sio stori stori za uongo na vitisho kama mtu ana hati miliki ya Tanganyika! Shame on you!
 
Kwa hiyo kuomba radhi ilihali tayari kuna wakenya walikufa kwenye huo uchaguzi ndio unamuona kuwa ni bonge la kiongozi?

Akili za baadhi yenu ni upupu mtupu, MTU aweza omba radhi kinafiki na mkashangilia.
mnafurahisha sana,
Hiyo radhi unaona ni bonge la jambo yaaani.
umepungukiwa akili wewe,

unaupeo mdogo wa kufikiria,
uliona wapi mtu kaomba radhi pasioo kukosea?
kama kagundua kua alikosea ulitaka awatukane au awagawe wale ambao hawakumpigia kura?
huyo sio raisi wa chama ni raisi wa wakenya wote!

acha uzwazwa.
 
We ndiyo zwazwa akili zenu za kishabiki hovyohovyo tu.
Sitaki kubishana na wewe mkuu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Be clear Uhuru or Ruto? When you say tingod it means one, uno, naboo. Eroo, yaani MOJA. Capisce?
Sina wakati wako, madhehebu ya miungu mingi siyajui, uhuru, ruto, moses kuria nkt sijui kuwaabudu labda uniambie wewe..Kanisa ama mskiti ni wapi? Lazma wafuasi waende wakiwa ndethe?
 
JPM aombe msamaha kwa mabepari, wasaliti na wezi wa madini? hata yesu mwokozi hakuomba msamaha kwa setani..muache unafki
Hivi Bepari,Wasaliti,wezi wa madini ni Akina nani?
Na baada ya kugundua kama kuna wezi mpaka wakajenga mahakama ya mafisadi mbona hawausishwi?
Sasa ngoja nikwambie ndugu yangu,Fisadi kuliko Malaika mkuu ajawahi kutokea katika Tanzania yetu.
Siku mkija kugundua kua Fisadi mkuu ni Jiwe na Bashite muda utakua umeshakuacha.
 
Sina wakati wako, madhehebu ya miungu mingi siyajui, uhuru, ruto, moses kuria nkt sijui kuwaabudu labda uniambie wewe..Kanisa ama mskiti ni wapi? Lazma wafuasi waende wakiwa ndethe?
Mimi huwa nahudhuria kanisa la yule Yohana ambaye huwa hajaribiwi. Hizo bla bla zingine sizijui. Hapa kazi tu ndio kauli yetu kuu. Ukileta ubishi tunakuben.
 
Back
Top Bottom